Zanzibar ni nchi: Dr Bilali arudi kwao

tz-zan63.gif

JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR ITASIMAMA TU KWA UWEZO WA ALLAH
 
tz-zan63.gif

JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR ITASIMAMA TU KWA UWEZO WA ALLAH
Lah salale!!
What more surprises do the Zanzibaris have for us?
Wasio amini kwamba there is more in store fungueni macho.
Ila prominence ya hiyo rangi ya damu inanitia wasiwasi!
 
Lole Gwakisa hiyo ni bendera iliyokuwa inatumika kabla ya Mapinduzi.
Bitmkongwe, sasa hii bendera akiitumia Sultan Jamshed au Afro-Shirazi?ndo maana nashangaa!Kama ni ya Sultan na hio Wazanzibari ndo wanaitaka I leave it to my fertile imagination as to what is in store for muungano and the have -nots in Zanzibar.
 
Mke akidai talaka mpe, hakuna haja ya kulazimisha ndoa, je mpaka mke akuzinie ndio ujue hakutaki? Hao Wazanzibari kama hawautaki muungano hawana haja kubali katiba na wajitoe rasmi. Wananchi wa Tanzania Bara tuna haki ya kudai kura ya maoni kujadili muungano huu ambao hauna kichwa wala miguu. Kama hoja ni visiwa tunacho Mafia kinatutosha.
 
Back
Top Bottom