Zanzibar ni member wa SADC?

Kuna kitu kinaitwa TANGANYIKA KUVAA KOTI LA MUUNGANO, TANGANYIKA KUJIGEUZA JAMHURI YA MUUNGANO!
 
Zanzibar
nchi ambayo imetekwa na kudumazwa na adui ambaye kabla ya kuiteka alikuwa anafuata bidhaa zake huko !
Adui ambaye kagoma hata kulipa zile 4.1 trilioni alizompora mateka huyo..
Adui ambaye kateka hadi wananchi wa nchi hiyo..masheikh wa uamsho !
Sasahivi nasikia anateka hadi raia wake akina Azori, Ben
BLACK KIDNAPPER !
 

Mkoloni huyu kazuia matengenezo ya barabara Pemba. Bandari unguja na jengo la arport Zanzibar.
 
Rais wa Tanganyika ni nani kwa sasa ?
 
Rais wa Tanganyika ni nani kwa sasa ?
Mayala uko vizuri unasema ukweli
 
Alafu wewe umesoma sheria...duuh ebu tupe ibara inayomtamka kua ni moja ya wa viongizi wakuu wa tano wa JMT
 
Kuna kero ya muungano hapa.
Yaani Waziri mkuu ni mkubwa kuliko Rais wa Zanzibar?
 
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?

Uzi tayari
Acha unoko wewe nani kakwambia shein kahudhuria kama zanzibar mwanachama. Mbona huulizi kama mwinyi mkapa kikwete wamehudhuria kama nani. Hukuona viongozi wengi tu wa tz walikua pale ukumbini kama waalikwa. Halafu ujumbe wa tz mkutano sio rais wa jamhuri peke yake tu wapo pia kutoka zanzibar.
 

Hasira za nini, tulia uandike vizuri.... kisha jibu hoja mezani ‘Shein alihudhuria kama nani’ bila kutaja hao wengine hujaulizwa.
 
Asante mkuu kwa kunijibia huyu popoma...kunywa kinywaji naja
Hasira za nini, tulia uandike vizuri.... kisha jibu hoja mezani ‘Shein alihudhuria kama nani’ bila kutaja hao wengine hujaulizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…