Zanzibar kwa vituko, lol

Zanzibar kwa vituko, lol

Tanga nao vip?. Dunia imekwisha jamani.

Usisingizie dunia kwisha... Dunia bado haijakwisha, kila mtu ataikuta na kuiacha kama ilivyo.

...tuache tu kuiga mila potofu. Mtu anakwenda kutembea zanzibar au mombasa anakuta wenyeji wanakamatishana ukuta, moja kwa moja anakwenda kuiga akifikiria hayo ndio maendeleo.... au kama wasemavyo, "kwenda na wakati". Toba..!!!!

:deadhorse:
 
sasa hapa vituko viko wapi ?hata kabla ya nyinyi kuvamia zanzibar tumekuwa na destururi ya kuuza nyama katika hali hiyo ,mtajipa tabu bure choyo kimekuzidini .jiangalieni nyinyi wenywe kwanza ,hivi hujiulizi wewe kwanini wazanzibari huwasikii kufunguwa midomo yao kwa mambo yanayofanyika tanganyika ?hata mkienda uchi sisi ahaa hatuingili mamb o yasiyotuhusu.
umeenda mbali kaka, rudisha moyo wa imani
 
Mkuu Max wacha uchokozi. Wazanzibari wastaarabu bwana.
 
4_14927_0_z38.jpg

 
Mshikaji wewe mi uzao wa watumwa wale legelege walioachwa hapo? maana wenye afya waliendelea na safari

Legelege descendants wa legelege!!!! Mababu waliosalia Tanganyika enzi hizo ama walimshinda mwarabu kwa nguvu au kwa kasi ya kukimbia.
 
Nadhani hapa ndipo pale wanapopaita KIEMBE SAMAKI, kama nimekosea itakuwa ni MICHENZANI.
<div style="text-align: center;"><img src="http://i.hangisinegitsek.com/Galery/410/4_14927_0_z38.jpg" border="0" alt="" /><br />
</div>
<br />
<br />
 
sasa hapa vituko viko wapi ?hata kabla ya nyinyi kuvamia zanzibar tumekuwa na destururi ya kuuza nyama katika hali hiyo ,mtajipa tabu bure choyo kimekuzidini .jiangalieni nyinyi wenywe kwanza ,hivi hujiulizi wewe kwanini wazanzibari huwasikii kufunguwa midomo yao kwa mambo yanayofanyika Tanganyika ?hata mkienda uchi sisi ahaa hatuingili mamb o yasiyotuhusu.
Maalim, kuwa mpole kidogo yakhe!
 
Back
Top Bottom