Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Mkuu.
Unaelewa kuwa kuna nchi ambazo ni visiwa kama Zanzibar?
Sychelles. Mauritius, Cape Verde..nchi hizi zipo Afrika.....je unaelewa vyanzo vyao vya mapato?
Lakini sisi Tanganyika aka Tanzania bara wenye vyanzo vya mapato....hayo mapato yako wapi? mapato yanayokusanywa yanamsaidia vipi mwananchi wa kawaida?
Nilipopitia historia nilijifunza kuwa Zanzibar walikuwa na uchumi bora kuliko wa Tanganyika kabla ya Muungano.
Wao uchumi wanao, na sisi uchumi tunao lakini "tumeukalia" kwa maneno ya Nyerere.
Tatizo ni viongozi tu.
Nonda at work, plz usipotoshe Nonda uchumi wa zanzibar ulikuwa mzuri sio kabla ya union bali sema kabla ya Mapinduzi, ni mapinduzi ambayo yaliwafukuza masettlers wengi wa kiarab na kupunguza imani ya wafanyabiashara hao kuwekeza zanzibar,kama ilivyokuwa huku bara na azimio la arusha-achana historia ya maskani. Karume akakuta pesa akatumia bila kuwekeza ktk return endelevu ili kuwa na revenue endelevu-zilipoisha kwisney. Kwanini kila falure yenu nyie zenj mnadai ni bcz Tanzania?(eh sory ni Darnyika)!
Mwl. aliwahi kusema "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Hapa ni dhahiri watanganyika wanabaguliwa. Sidhani kama Mzee Karume alikuwa mjinga kiasi cha kuingia kwenye muungano ambao leo unaonekana FEKI. Yetu macho, kama sio kizazi hiki, basi vijavyo; endapo utavunjika, kuna siku tutatamani kurudi kwenye muungano lakini itakuwa "too late".
Mwl. aliwahi kusema "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Hapa ni dhahiri watanganyika wanabaguliwa. Sidhani kama Mzee Karume alikuwa mjinga kiasi cha kuingia kwenye muungano ambao leo unaonekana FEKI. Yetu macho, kama sio kizazi hiki, basi vijavyo; endapo utavunjika, kuna siku tutatamani kurudi kwenye muungano lakini itakuwa "too late".
Kwa hali ilivyo Zanzibar, wakati umefika maamuzi juu ya kuvunjika muungano yafanyike haraka iwezekanavyo. Asilimia 90% ya wazanzibari hawataki muungano. Kwenye kongamno inayoendelea zanzibar imejitokeza wazi kabisa kuwa muungano hautakiwi. Ushahidi wa kutosha umejitokeza kuwawezesha wazanzibari kutamka hadharani kwenye majukwaa kuwa muungano ni FEKI. Ni uonevu uliopitika kutaka kuiua Zanzibar. Wakati umefika ndoa yetu ya haramu tuivunje. Kuna ushahidi wowote wa ndoa hii?.
Ipigwe kura ya maoni tu, kwa mujibu wa wazanzibari wengi nilioongea nao wao wana dhana kuwa bara inafaidika sana na maliasili za Zanzibar kuliko Zanzibar yenyewe (wananyonywa).
Serikali inatakiwa iwaulize wananchi wa pande zote mbili kama wanataka muungano uendelee (serikali moja au tatu) au uvunjike, tukiendelea kuikwepa kwepa hii issue itakuja kuwa out of hand tukaja kujuta.
Mkuu.Ng'ombe hajui thamani ya mkia mpaka siku umekatika na nzi wamemjaa mwilini ndo anapoukumbuka umuhimu wake
Mwl. aliwahi kusema "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Hapa ni dhahiri watanganyika wanabaguliwa. Sidhani kama Mzee Karume alikuwa mjinga kiasi cha kuingia kwenye muungano ambao leo unaonekana FEKI. Yetu macho, kama sio kizazi hiki, basi vijavyo; endapo utavunjika, kuna siku tutatamani kurudi kwenye muungano lakini itakuwa "too late".
Hivi nani anayeuhitaji muungano zaidi ni Bara au Zenj,mi nafikiri Zenj wanahitaji zaidi huu muungano kwani kwa hali ilivyo wengi wao ni watu wanaotegemea bara kupata riziki zao ,tofauti na wabara ambao hawaitegemei Zenj hata kwa punje ya mtama,muungano ukivunjika watakaopata shida ni akina pangu pakavu kwani hawatakuwa na sehemu ya kusemea,na hao akina Hamadi itabidi waachie urua wanaopata bara na pia ina maana hao wapemba/wagunya waondoke bara au waishi kama wageni kwa kulipia vibali vya makazi ,sidhani kama mambo ya EAC kuwa muingiliano kuwa free kwa wanachama utaanza hivi karibuni,isitoshe ndugu zangu hao sijui watakaa wapi kwani Zenj imejaa na wanavyozaliana sijui itakuwaje hapo mbeleni kwani nyota ya kijani huko visiwani ni sawa na maji na mafutaKwa hali ilivyo Zanzibar, wakati umefika maamuzi juu ya kuvunjika muungano yafanyike haraka iwezekanavyo. Asilimia 90% ya wazanzibari hawataki muungano. Kwenye kongamno inayoendelea zanzibar imejitokeza wazi kabisa kuwa muungano hautakiwi. Ushahidi wa kutosha umejitokeza kuwawezesha wazanzibari kutamka hadharani kwenye majukwaa kuwa muungano ni FEKI. Ni uonevu uliopitika kutaka kuiua Zanzibar. Wakati umefika ndoa yetu ya haramu tuivunje. Kuna ushahidi wowote wa ndoa hii?.
Nikifikiria vyanzo vya mapato Zenj kichwa kinauma. Mtauana sana. Tokeni sasa. Kura kama laki 2 za CCM zitapungua. Better
Wacha wavunje maana hautusaidii chochote katika serekali ya tanzania bara iliyojificha, kama talaka juu ya ndoa haramu iliyofungwa sisi tutakuwa wa mwanzo kutoa talaka ya kuvunja muunguna
tatizo sio kuwepo muungano.....tatizo ni muungano wenyewe haukupata kukubaliwa na wananchi....ulikuwa wa viongozi wawili..nyerere na karume...( ingawa hapa karume aliburuzwa -alilazimishwa...lakini wazanzibar walio wengi hawakuufarihia ....sijui tanganyika kama waliridhia as at that time hakuna wa kumpinga nyerere...haíingii akilini kuwa huku tunajadili muungano wa nchi 5 za ea na huku tunajadili kuvunja muungano wa tanganyika na zanzibar
Huh,siku hiyo nitafurahi sana!
Tume wabeba mno aisee,assume wabunge wengi zaidi ya 20 toka zenji tunawalisha huku na idadi ya watu wanao wakilisha haizidi ile ya watu wanao wakilishwa na mnyika ubungo,....ondokeni fasta bana