Zanzibar is gone

Zanzibar is gone

Mwiba,

Acha fix, hakuna munge wa Zanzibar mwenye ubavu wa kuktaa kwenda kuvuna au kuhemea Dodoma, hizo ni kelele za vibarazani mnapo badilishana vikombe vya kahawa.

Hata hii eti wawakilishi? hamna ubavu huo, utarudi hapa kupiga kelele kwa kikao kiko mbali?
 
Hivyo watanganyika tunatakiwa tuamke, badala ya kuutetea muungano tunatakiwa tuujadili muungano huu, tuangalie maslahi ya pande zote mbili, na kama hakuna faida yoyote, na unatia hasara kwanini tuendelee kuwa na muungano huu kisa tu kwa ajili ya usia wa Nyerere ambaye pia ni mwanadamu? Otherways, Still stand to be corrected!
Mimi badala ya kukusahihisha ninakuunga mkono. Kulikoni Tanganyika? Kwa nini tunasema kichinichini tu kuwa "Tunataka Tanganyika yetu," mara "Ooh kwa nini Zanzibar ipo Tanganyika haipo?". Mara kadhaa kil wnapojitokeza Wazanzibari kudai kura ya maoni au kutaka kujitenga, sisi ndio wa mwanzo kusema "Waacheni wende, wao ndio watakao athirika". Hivi Tanganyika haiathiriki? Ikiwa kweli tunahisi Zanzibar inapendelewa katika Muungano, ikiwa kweli haturidhiki na kuwabebabeba, kwa nini Watanganyika hatuungani na Wazanzibari kurekebisha pale Nyerere na Karume walipokosea, licha ya nia yao njema?
 
Refa puliza kipenga, penalty kick and Zenz is no more!!! Majority of us do not like you!!! Join your OIC and close ties to OMAN (your origin!!). Hatujazoea fujo na ukabila wa dini!! To hell with you. We benefit nothing from you!!! Mbara yeyote hana uhuru Zenj wakati nyie mna uhuru kwetu na biashara kibao!!! Thubutu Zenj!!!!
 
Utamaduni na Mila za Muislaam popote alipo ni Uislaam. Kumbuka hilo. Uislaam umekuja kuondosha mila na tamaduni za "kishenzi" na kuifanya dunia iwe na mila na tamaduni moja nayo ni UISLAAM.

Wanachosema Wazanzibari ni kweli kabisa, Jee, sisi hatuitaki nchi yetu ya Tanganyika?

Ikiwa wao watakuja kama wageni na sisi tutakwenda kama wageni kama ilivyo kwa mataifa mengine wanayoishi hapa na Zanzibar.

Naona ni wakati muafaka kila mmoja awe na nchi na Serikali yake na Muungano uwe wa nchi mbili zinazojitegemea kipekee.

zomba, natoka nje ya mada kidogo. Hapo kwenye red: Unaweza kuniambia ni kwa nini karne ya leo bado watu wanaangalia mwezi ili kujua siku ya sherehe imefika au la! Kiliondolewa nini na kuwa replaced na nini maana mambo ya kuangalia jua ya ujima?
 
Ebu msikieni na huyu anavyosema.....

" Na kwambia Mwl. Nyerere alikosea step kusema kuwa Eti Wazanzibar wakijitenga, dhambi yao hiyo haitaisha hapo wataanaza kujitenga pia kwa kuliuzana we mzanzibari au wewe ni mzanzibari, wataendelea kusema wewe ni Mpemba au ni Muunguja....narudia Mwalimu alikosea ....wazanzibari wala hawawazi hivyo... Wazanzibari wakisha kujitenga watakuwa wamoja kuliko walivyowamoja sasa baada ya muafaka wa CCM na CUF... Na umoja huo utadhihiri hivi punde tu baada ya kujitenga na Tanganyika watakapounganisha nguvu kudai kurudishiwa maeneo yote ya pwani ya Tanzania Bara, Kenya na Msumbiji pamoja na kisiwa cha Mafia. Wazanzibari wanayosababu ya "msingi" ya kudai Zanzibar huru....Watanganyika hili hawajaliona Mwl. akuliona lakini Mkapa aliliona ndiyo maana akiulizwa juu ya Muungano wakati wa Utawala wake alikuwa na majibu yaliyokuwa yana onyesha wasiwasi wake kwenye nia ya kuzitenga nchi mbili hizi..... Nakuelezeeni Mwalimu alikosea step......

Sikuendelea kumsikiliza maana nilijua kwa vyovyote vile maelezo mengine yatakuwa yanazunguka hapo hapo.

SWALI:

Wazanzibari mnania hiyo ya kuteka pwani ya Tanzania bara baada ya kututenga na kuimarisha nchi yenu?
 
...mpira miguuni 'kwao', golini hakuna kipa, wafunge tu....

Wao wanadhani wanafunga, kumbe wanajifunga OG. Mpira utatinga wavuni kule Pemba.
Walivyo na maono hafifu hapo wanajiona wanautetea Uzanzibari? wakishapata hiyo Zanzibar kesho wanakuja Wapemba na Waunguja kudai nchi zao na ndipo ule unabii wa Nyerere utatimia.
 
Mi sioni umuhimu wa Zanzibar kwa Tanganyika, Muungano uwepo usiwepo ni bila bila tu. Kama wazanzibari wamejiita wao kwamba wao ni wao na sisi ni sisi, basi tuwaache waende!. mtoto akililia wembe mpe!.
 
zomba, natoka nje ya mada kidogo. Hapo kwenye red: Unaweza kuniambia ni kwa nini karne ya leo bado watu wanaangalia mwezi ili kujua siku ya sherehe imefika au la! Kiliondolewa nini na kuwa replaced na nini maana mambo ya kuangalia jua ya ujima?

Sijakuelewa kabisa, sasa mwezi unatazamwa na nani? na kwanini? Halafu mara mwezi mara jua. Hebu kuwa makini kidogo.
 
Wahenga wetu walisha sema zamani za kale kwamba "Mtoto akililia wembe mpe umkate".
 
Sijakuelewa kabisa, sasa mwezi unatazamwa na nani? na kwanini? Halafu mara mwezi mara jua. Hebu kuwa makini kidogo.

Turahisishe mambo. Unaweza kuniambia the excat date ya kuanza ramadhani? plus the exact date ya Eid El fitri? Tafadhali usitumie hizi herufu mbili kwa pamoja "au".
 
kwetu sisi watanganyika kuvunja muungano ni kazi ndogo sana... lakini kwa sasa sio kipaumbele chetu... muhimu kwa sasa ni kuitoa serikali ya chama FISADI kisha tutakuja kuvunja muungano ndaniya siku 100%.

nawashauri mkitaka muungano ingiieni M4C tuitoe Magamba na mabo yenu yatakuwa murwa kabisa.....
 
Turahisishe mambo. Unaweza kuniambia the excat date ya kuanza ramadhani? plus the exact date ya Eid El fitri? Tafadhali usitumie hizi herufu mbili kwa pamoja "au".

Jua linahusu nini, soma nyuzi yako ya Mwanzo.

Exact date ya kuanza Ramadhani ni kila tarehe 1-9- Al Hijr (tarehe Moja mwezi wa Ramadhan (tisa) wa Hijr.
 
Turahisishe mambo. Unaweza kuniambia the excat date ya kuanza ramadhani? plus the exact date ya Eid El fitri? Tafadhali usitumie hizi herufu mbili kwa pamoja "au".

Jua linahusu nini, soma nyuzi yako ya Mwanzo.

Exact date ya kuanza Ramadhani ni kila tarehe 1-9- Al Hijr (tarehe Moja mwezi wa Ramadhan (tisa) wa kalenda ya Kiislaam "Hijr".
 
Back
Top Bottom