Zanzibar is gone

Baraza la wawakilishi halina nguvu ya kuvunja muungano.Bunge la JMT ndiyo chombo pekee chenye mamlaka na nguvu za kuvunja muungano.

WaZanzibar kama kweli wamepania kuvunja muungano hawapaswi kupiga kelele kwenye baraza la wawakilishi watatakiwa kufanya yafuatayo.

[1] Wamwagize makamu wa Rais Dr Gharib Bilal ajiondoe katika serekali ya muungano.

[2] Mawaziri wote kutoka Zanzibar wajiondoe katika serekali ya muungano.

[3] Wabunge wote toka Zanzibar wajiondoe katika vikao vya bunge la JMT.

[4] WaZanzibar wote walioko Tanzania bara au Tanganyika warejee Zanzibar au waombe passport ya kuishi Tanganyika.

[5] WaTanganyika wote wanaoishi Zanzibar warejeshwe Tanganyika watakao penda kubaia lazima wapatiwe passport ya Tanganyika mara moja.

ILI waharakishe kuondoka inabidi tuwabige bakora kwani waliokuwepo tanganyika hawataki kuondoka huku wanasema wakienda kule wata rongwa na kibiashara ita kuwa ngumu kwani wanzanzibari ni wachache kwahiyo biasha zitakosa wateja. wengine wanasema walikuwepo tanganyika wanamaendeleo hivyo wanawaonea wivu.
kama tunataka waondoke haraka nikuwabiga bakora wata banda boti wenyewe
 
Rais Mstaafu Mwinyi na ukoo wake; Rais Mstaafu Jumbe na Ukoo wake walitoka wapi? Sio waalimu natakiwa kuwauliza
........Mwinyi katokea tanganyika, alizaliwa kivure mkoa wa pwani tanganyika na huko ndiko walipo ujoo wake..ndugu zake wote wajomba , mashangazi wote wapo huko....kwa taarifa yako hana jamaaa wala mjomba zanzibar...ndio maana nikasema sio mzanzibar...ameoa tu waraabu na sio waunguja ni wa tandika.
ama jumbe ni mdengereko amezaliwa mji mwema kigamboni na ndipo alipo mpaka leo...nae hana mjomba shangazi wala kaka huko zanzibar wote wapo hapa dar es salaaam .ameona wake wa kiarabu wa kipemba.na ameoa mke wake wa mwanzo kabla ya mapinduzi al kindy mwarabu....wote si wazliwa ni wakuja
 
Vipi wewe ni wa Wapi?
 
Vipi wewe ni wa Wapi?
mimi ni kuelea.....wazee wangu walitoka zanziabr kabla ya uhuru 1959 wakahamia dar es salaam, nimezaliwa hapa...nipo hapa kabla ya mapinduzi...sasa ukweli sijui wa wapi kwani zanziabar hawanitambui hawanipi kitambulishi chao na tangayika wana niita mzanzibari labda unisaidie ni wa wapi uki vunjika...!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
tofauti yetu ni kwamba wao (jumbe na mwinyi) wamehamia zanzibar na walipata urais wa huko ila mimi hapa naonekana wa kuja na zanzibar wakuja ..faida ya muungano
 
Wewe ni Mbongo... Na unaogopa kuwauliza wazazi wako kwasababu watakuambia wao ni wabongo pia... Sio mbaya hata kidogo; Waziri wetu wa Afya kazaliwa Dar, kasoma Dar kachukua tu Uwakilishi Zanzibar sababu naona Bara wangempigia Makelele na Zanzibar alichukua kitu cha Mtasha Hassan Diria, Jimbo lake sio la Makeke sana.

Lakini kuna wabara wanapiga kelele hicho cheo sio cha Zanzibar, well hakuzaliwa Zanzibar ni Mbara kikazi tu ni Mzanzibari

Nina Marafiki wanaitwa last name Shija... utasema ni Wasukuma lakini wapo wa Zanzibar yaani ukiongea nao utashangaa hawajui kisukuma hata kidogo na hawajui Mwanza iko wapi huku bara; na Wana Majina ya kikristo lakini hawajui kanisa liko wapi sio kuwa wamekatazwa Wanakwenda Msikitini na kufunga wanaona wako karibu na Uislamu.

Hii Ndio Tanzania, Nchi yetu yenye Mengi ya kujivunia... Nchi Nyingine wanashangaa Jinsi Wakristo na Waislamu wa Nchi

Hii Tunavyoheshimiana; kweli hatuna matengano kama Majirani zetu wa Kenya... Ni vitu vidogo vidogo tu.
 
Back
Top Bottom