Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Uko pamoja nami katika kukubaliana kuwa fikra za Nyerere zisidumu.
Ahsante.
duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na Karume...hivi kati ya fikra zako za udini na zile za mzee karume na Nyerere zipi zina tija?
Tambua muungano huu wa Visiwa Vidogo na Nchi kubwa Ndio muungano wa Ajabu uliosalia Duniani ! Nchi kubwa haijielewi haijitambui inapelekeshwa na Visiwa Kama Upepo haina Sauti mbele ya wana Visiwa ! Zinatumika pesa nyingi kujipendekeza na kubembeleza muungano huku wananchi wakitaabika kwa ubovu wa huduma za jamii ! Ebu cheki muungano wa Marekani Nchi 52 Hakuna kero za Muungano wala wizara ya muungano, Udini,Ubaguzi,Uchoyo wa Ardhi kama Zanzibar ! Wapo na muungano Digtal hawana Utitiri wa wabunge kwenye zile nchi ndogo wala wabunge kula posho Mara mbili Kama wa Zanzibar wanaovuna posho Dodoma na zenji huku wabunge wa Tanganyika wakiwa hawana Haki ya kula posho zenji .UKRAINE
Wakati CRIMEA ikiandaa kujitenga na mpaka ilipojitenga toka UKRAINE nchi ya UKRAINE ilikuwepo na haikutafuta bendera, wimbo, sarafu wala uwakilishi wa kimataifa kwa sababu yenyewe IPO
Ajitengaye kwa sababu ndo anaanza hujitafutia vyote hivyo.
Duh .. kwa hili nakubaliana nawe (kwa mara ya kwanza)Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Nataka zidumu isipokuwa tu Tanganyika irudi
duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na Karume...hivi kati ya fikra zako za udini na zile za mzee karume na Nyerere zipi zina tija?
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Yaani wewe janja yako ni ya nyani!!Zitadumu vipi wakati yeye ndiye aliyeiuwa Tanganyika na yeye ndiye aliyeunda Nchi moja yenye Serikali mbili?
Ikirudi Tanganyika na fikra za Nyerere zimekufa.
FaizaFoxy, kwa ukumbusho tu Azimilio la Arusha liliuawa Mwalimu akingali hai na liliuliwa huko huko Zanzibar mwaka 1991 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana chini ya Raisi Ali Hasan Mwinyi, Mzanzibari. Mwaka 2010 huko huko Zanzibar Muungano wa serikali mbili nchi moja uliuawa huko Zanzibar, Jakaya Kikwete, Raisi na Mwenyekiti wa CCM, alipoafiki kuvunjwa kwa Katiba na kuundwa kwa Muungano wa serikali mbili nchi mbili. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe alivyowahi kusema Mwalimu kuhusu Muungano;FaizaFoxy said:Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Hakuna hata siku moja Mwalimu alisema/aliapa Muungano lazima udumu milele; alichosisitiza ni taratibu kufuatwa na hiyo ngio sababu ya kumwajibisha Aboud Jumbe na kuwapinga G55. Sana sana alionya kuwa kama Muungano unavunjika kwa sababu za kipuuzi kama za kibaguzi, Watanzania hawatabaki salama...dhambi ya kubaguana kikabila, kidini, kitabaka n.k. ingeendelea kuwatafuna kizazi hadi kizazi. Hata Marehemu Karume naye aliongelea jambo hilo; kwamba Muungano ni kama koti, likikubana unalivua.Mwalimu Nyerere said:Iwapo umma wa wazanzibari bila ya ushawishi wowote kutoka nje, na kwa sababu zao wenyewe, wataona kuwa Muungamo una hasara kwa uhai wao, sitowapiga mabomu kuwalazimisha. Muungano utakuwa hauna tena sababu ya kuendelea iwapo washiriki wake wataamua kuukana
Hivi zanzibar ikijitenga na tanganyika ikajitenga nani atalipa deni la taifa? Au tutaligawa nusu kwa nusu
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Is this Nyerereism?
Maana umemuongelea Nyerere tu post yako nzima tena kwa namna ya kebehi na kejeli.
Ulipoanza kutaja vitu kama "mwenyeheri" na vingine vinavyofanana na hivyo, nimemaizi kuwa chuki yako dhidi ya Nyerere imejengwa katika misingi ya kidini, Vyovyote iwavyo, muungano ulioasisiwa na Nyerere sio tulionao sasa. Hustahili kutumia mwavuli wa muungano katika kuhalalisha kejeli zako kwake, Labda tafuta kitu kingine.
Na sisi tukishaipata Tanganyika Wazanzibar mliojisaahau huku tannganyika kama wewe na mnaouthamini uislamu kuliko uafrica wako tutakuapandisha kwenye jahazi urudi kwenu Zenj alafu tuone kama uta lilia kurudi Tanganyika
Yaani wewe janja yako ni ya nyani!!
Unatishia watu eti Tanganyika ikirudi fikra za Nyerere zimekufa ili waendelee na mfumo huu ulioshindwa wa serikali mbili?
Ni Nyerere gani ambae angependelea muundo huu kwa jinsi mambo yalivyo sasa!??
Hebu ona hii;
Raisi wa muungano kwa sababu amezuiwa na katiba ya Zanzibar kugawa mikoa na wilaya za Zanzibar kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano,
Mahakama ya rufani ya JMT imepigwa marufuku ya katiba ya Zanzibar kusikiliza mambo yahusuyo mahakama za kadhi, haki za binadamu na kutafsiri katiba ya Zanziba r.
Sheria zinazopitishwa na bunge la JMT ambalo pia limecomprise wazanzibar haziwezi kutumika zanzibar mpaka ziridhiwe na baraza la wawakilishi na huwa zinarudishwa katika bunge la JMT ili zifanyiwe marekebisho ndipo zitumike Zanzibar(yaani wanashurutishwa?)
Kwa kifupi, Katiba ya Zanzibar iko juu ya katiba ya JMT na baraza la wawakilishi liko juu ya bunge la JMT maana hivi vyote vinalazimika kufuata visiwani wanachotaka,
FaizaFoxy, kwa ukumbusho tu Azimilio la Arusha liliuawa Mwalimu akingali hai na liliuliwa huko huko Zanzibar mwaka 1991 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana chini ya Raisi Ali Hasan Mwinyi, Mzanzibari. Mwaka 2010 huko huko Zanzibar Muungano wa serikali mbili nchi moja uliuawa huko Zanzibar, Jakaya Kikwete, Raisi na Mwenyekiti wa CCM, alipoafiki kuvunjwa kwa Katiba na kuundwa kwa Muungano wa serikali mbili nchi mbili. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe alivyowahi kusema Mwalimu kuhusu Muungano;
Hakuna hata siku moja Mwalimu alisema/aliapa Muungano lazima udumu milele; alichosisitiza ni taratibu kufuatwa na hiyo ngio sababu ya kumwajibisha Aboud Jumbe na kuwapinga G55. Sana sana alionya kuwa kama Muungano unavunjika kwa sababu za kipuuzi kama za kibaguzi, Watanzania hawatabaki salama...dhambi ya kubaguana kikabila, kidini, kitabaka n.k. ingeendelea kuwatafuna kizazi hadi kizazi. Hata Marehemu Karume naye aliongelea jambo hilo; kwamba Muungano ni kama koti, likikubana unalivua.
Muda muafaka sasa umefika, hatuwezi tena kuendelea na Muungano huu kama ulivyo, msimamo wa CCM ni uendawazimu na bahati mbaya Kiongozi aliyeshindwa kuulinda kwa kutetea Katiba ndiye huyo huyo sasa anataka kuulinda kwa kutumia mabomu na kulazimisha;yale yale aliyokataa Mwalimu! Hekima imetuaga na sasa tunabwabwaja tu kama wehu, CCM kwa kweli inatupeleka pabaya na Mola atuepushie mbali. Misukule ya Lumumba iache kuhangaika kuzoa maziwa yaliyomwagika...Muungano kwishnei!