Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Chema njomba, chema! Mitanganyika iendelee kulazwa na ccm mbabezanzibar tulipoteza watu .wazee wetu kupata uhuru. hatukubali kuuwachia kwa kisingizio cha muungano usio na muelekeo thabiti na wa kimaslahi makubwa. zanzibar ndio kura yetu ya turufu kwenye ulimwengu wa maslahi ya kiuchumi kutawala kila kitu..LEO HAKUNA RAFIKI WA KUDUMU DUNIANI KUNA MASLAHI YA KUDUMU.kila mmoja anavutia kwake.
kwa nn AFRICA imeshindwa kuungana mpaka leo licha ya nchi kutawaliwa na waafrika wenyewe?hakuna ukweli ni unafiki viongozi wizi balaa.
Nani alikuambia utakatifu wa Nyerere unategemea muungano kwepo au kutokuwepo? Nyerere alimaliza shughuli yake akaondoka, ikiwa ni mtakatifu huwezi kubadili kitu kwa yanayoendelea sasa. Usijadili mambo ambayo huyajui, swala la utakatifu wa nyerere waachie wakatoliki, wao wanajua wanachoongea. Hata uikiandkika kitabu hutaelewa mpaka uwe mkatoliki. Jadili siasa na mambo unayojua hapa usionyeshe ushamba wako na udhaifu wako wakutojua mambo hapa. Kama unataka kujua wanamaanisha nini wakatoliki wanapomwita mtu ni mtakatifu, nenda kawaulize kwa hekima watakufahamisha.
Tanganyika haiwezi kupatikana hali ni mtu mmoja tu ndie anaelewa umuhimu wa Tanganyikz nae ni Mtikila wengine wote tumekubali mafisadi waipole mali za Tanganyika fungukeni macho wa tanganyika mnaibiwa
Au sio chukua tano hizo, ila unapingana na mwenyekiti...
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Nani alikuambia utakatifu wa Nyerere unategemea muungano kwepo au kutokuwepo? Nyerere alimaliza shughuli yake akaondoka, ikiwa ni mtakatifu huwezi kubadili kitu kwa yanayoendelea sasa. Usijadili mambo ambayo huyajui, swala la utakatifu wa nyerere waachie wakatoliki, wao wanajua wanachoongea. Hata uikiandkika kitabu hutaelewa mpaka uwe mkatoliki. Jadili siasa na mambo unayojua hapa usionyeshe ushamba wako na udhaifu wako wakutojua mambo hapa. Kama unataka kujua wanamaanisha nini wakatoliki wanapomwita mtu ni mtakatifu, nenda kawaulize kwa hekima watakufahamisha.
Bado hajawa mtakatifu, kwa mujibu wa kanuni za Kanisa Katoliki ili kuwa mtakatifu inabidi uwepo muujiza, muujiza mmoja ambao unaweza ukawepo ni pale itapoonekana Nyerere kaweza kuifanya nchi ya Waislamm kwa asilimia 98 kuwa nchi isiyo na dini.
Hilo kubali au kataa. Kuna muujiza mwingine ambao dikteta anaweza kuwa nao? fikiri.
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.
Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?
Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.
Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.
Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.
Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Nani alikuambia utakatifu wa Nyerere unategemea muungano kwepo au kutokuwepo? Nyerere alimaliza shughuli yake akaondoka, ikiwa ni mtakatifu huwezi kubadili kitu kwa yanayoendelea sasa. Usijadili mambo ambayo huyajui, swala la utakatifu wa nyerere waachie wakatoliki, wao wanajua wanachoongea. Hata uikiandkika kitabu hutaelewa mpaka uwe mkatoliki. Jadili siasa na mambo unayojua hapa usionyeshe ushamba wako na udhaifu wako wakutojua mambo hapa. Kama unataka kujua wanamaanisha nini wakatoliki wanapomwita mtu ni mtakatifu, nenda kawaulize kwa hekima watakufahamisha.
Tambua Nyerere na karume waliasisi Muungano kwa lengo la kuja Kuwa na Serikari moja tu , vile vile walitarajia muungano utakuwa Ukiboreshwa kulingana na wakati . Sasa imekuwa Kinyume na matarajio ya Nyerere Ndio Maana Haya ya Watanganyika kuzinduka kutaka Nchi Yao yameanza, lakini Kama misingi ya awali ingefuatwa Leo hii kero za muungano ingekuwa ni Historia .Hivi sasa Zanzibar amevunja katiba anajiamulia mambo yake atakavyo, wamegoma kulipa Gharama za muungano kwa Miaka 47 sasa ! Hakuna anayethubutu kuwauliza Jambo Viongozi Wa Tanganyika wanawaogopa sana Wazenji hawana Sauti Zanzibar hususani Waziri Mkuu Hana chake hawezi kukomandi chochote Zanzibar ! Ujue wao chao ni chao pekee ikiwemo Ardhi , lakini cha Tanganyika ni cha Wote kisha wanapewa na Pesa ya kuwaliwaza pamoja na matumizi mengine . Ukweli Uchumi wa Tanganyika haukuwa Sababu ni kulemewa na zigo la Kuilea Zanzibar .
Bayana hizi ingekuwa umezitoa wakti wa Nyerere nafikiri tungekusahau kabisaaaa.
nafikiri wangekuKOLIMBA.
Kabisa, leo tunajivuna na demokrasia tulionayo ambayo hatujawahi kuiona awamu zote kabla ya Kikwete.
Muungano hata ukibaki,tunaitaka Tanganyika yetu
...wazanzibari wanataka nchi yao,watanganyika nao sasa wanataka nchi yao na ccm wanataka wabaki na tanzania...watanganyika na wazanzibari wakichukua nchi zao,je ccm watabaki na nini?...kumbe ndo maana ccm wanayapinga maoni ya wananchi wa Tanganyika na Zanzibar!!!???..