Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

Nguruvi,
do we know the implication of Zbar going its own separate ways?
  • it needs it's own armed forces
  • police,
  • fully fledged govt portfolio, foreign, internal, EAC, etc not to mention the two VPs......
  • Strong and sustainable revenue sources/ treasury
  • Own currency , central bank and strong monetary policies
  • etc
But have you asked yourself, is there any known industry in Zbar that generate revenue? Apart from tourism what is the other source of revenue if not retail trade with the mainland and which depends so much on goods sourced from the middle east? (uchuuzi)

My take is, with the current internal feuds currently trnqulized by the govt of national unity, Zanzibar needs a transition before it can stand on its own.short of this it has all the recipe for disaster hovering at our doorstep. Zbar does not have strctures to absolve internal and external shocks. Unfortunately some zanzibaris still are the illusion of looking towards the east - to a "big brother" . I dare say that is 19th century syndrome and which is misplaced.

ndio maana nashauri tuvumiliane! Tupeane muda kwa kuwa miaka 50 si haba inabidi wajiandae Kama kweli wanaamini kuwa wanataka "kufaidi"mapinduzi Yao matukufu
 
Hakuna pesa Tanganyika inadaiwa.
Ninyi hamjui kuhusu mgao mnaoupata kila mwezi. Hamjui huduma ambazo mumezipata kwa miaka 50 na leo watu wenu wanaweka wazi kabisa kuwa muungano uliendeshwa na kodi za Watanganyika.

Vunjeni muungano mdai machodhani kama hamtajikuta mnauza kisiwa chote.

Tumewaambi siku nyingi kuhusu gharama za muungano. Leo maji yamewafika shingoni mnalalamika kuhusu udogo.

By the way ninyi vijana wa Tanganyika mliokosa mikopo iulizeni serikali yenu kwanini mkose mikopo ili hali pesa za kodi za baba zenu zinakwenda ZNZ kwa mikopo ya wananfunzi wa 1) Kusoma bila kurudisha mikopo 2) Kupewa hata nafasi zenu kwasababu tu ya uzanzibar..
Eto hawataki muungano wakati wapo Dodoma! thubutu nani asiyependa sh ya Tanganyika!

Wanajiandaa kuongeza wajumbe waje kwenye bunge la katiba badala ya kuwakataza, huku uvunguni mwa vitanda wanapiga domo hawataki muungano.

Tumechoka kusikia kelele zenu tuna mambo mengi ya muhimu. Hatuwezi kuishi kwa kuwabeba mkicheza msewe halafu mnataka vyeo na ajira. This time around pasu pasu kama hamtaki njiaa nyeupee bandarini rudini mkaijenge znz ya pembe za ndovu na watumwa. Znz iliyokuwa inagawa sambusa barabarani na mapilau katika vituo vya mabasi, znz yenye neema.

Tuwabebe halafu mtukane! ebo! leo mnasema bila haya hamjiwezi! mkiondoka hapo mumechukua posho mnaelekea bandarini na matusi. Posho za Mtanganyika! tumechoka kelele na midomo yenu.
Tatizo leni si muungano ni jingine linalohitaji kampeni ya Lowasa.

Mimi sipendi kubishana na kichwa maji., ww ungekuwa mzalendo wa kweli na unaipenda nchi yako kwanza ungesimama kidete ukaidai Tanganyika yako kama tunavyoidai sisi Zanzibar yetu, ili utoke katika utumwa wa mkoloni mweusi.

Zanzibar kuwa na uwezo ama kutokuwa na uwezo kuichangia serikali ya muungano si muhimu tn kwa sasa na imeshapitwa na wakati., Muungano ni jambo la hiyari sisi tumeamua kuidai nchi yetu. Historia inaonyesha Zanzibar ilikuwa nchi huru ambayo ikijiendesha mambo yake kwa salama kabisa kabla ya kuungana na Tanganyika.

Kinachowauma Tanganyika leo ni kuona zanzibar inadai mamlaka yake iliyokuwanayo hapo awali na ndo sasa munatafuta sababu na visingizio ambavyo kutokana na muda sasa ni kama ''Kujamba Mtoni'' we will not stop mpaka bendera ya Zanzibar ipepee UN. Kwanini Tanganyika muumie kwa Zanzibar kudai mamlaka yake? Kwanini mutunganganie na hatuwataki?.

Zanzibar ilitoa herufi 3 na Tanganyika heruf 3 tukatengeneza neno Tanzania. Kwaiyo sisi tunadai zanzibar yetu nyinyi rudieni jina lenu la awali Tanganyika msikubali utumwa wa kijinga jinga., mulipaswa na nyinyi kuwa mstari wa mbele kudai mamlaka ya Tanganyika yenu.

Tuachieni pilau yetu ndio chakula wanachokula watu wenye fedha duniani nyinyi pigeni ugali wenu na madagaa pamoja na viazi vitamu ule msimu ukifika .,,
 
Sijakusoma Mkuu,
Ina maana Zanzibar inaidai Tanganyika?


Ndio Mkuu Msingida,tena madeni makubwa na mangi mno.

Tatizo Viongozi wa Serikali zoote hapo hawaweki ukweli hadharani,na pia siwezi kuwalaumu kwalo,maana si culture yetu Watanzania/Wa-Afrika kuambizana kweli!?

Kumbuka yakuwa hiyo nchi ndo kwanza inajifunza/mnajifunza kuweka bayana majambo muhimu/"nyeti" na informations nyinginezo za Serikali...nakhis unakumbuka "enzi za Mwalimu"!?

Ahsanta
 
sasa hapo kinakuchekesha nini!? Kwani ni lini hiyo Tanganyika aka JMT iliacha kupata misaada toka nje tangia ipate ule "uhuru" wake!?
Sicheki nchi kupata misaada, ila kutaka uhuru ili ipate misaada
 
Zanzibar iache unyanyasaji wa raia wenye asili ya Bara.



Kuna wanyanyasaji zaidi ya nyinyi Watanganyika khasa wa mabara,kuchuna ngozi za wale ma-albinos,kukata viungo na kuwatoa roho zao,kufanza mauaji,kubaka na kuchomeana vijiji kisa ati mnagombania sehemu za malisho ya mifugo/ng'ombe!?

Zanzibar/Unguja hakuna ubaguzi wowote kwa watu wa aina yeyote kama unavyodai...embu kachungulie jinsi wale Wamasai wenu leo walivyojazana kule,yaani leo Zanzibar imekua kama vile Serengeti!...hishma wapewayo Wamasai pale Zanzibar hawawezi kuipata huko Tanganyika walipotokea maisha yao yoote!

Nafikiri wajua jinsi gani hao Wamasai wanavyobaguliwa na kusumbuliwa pita kiasi huko huko Tanganyika...unakumbuka kisa cha Cleopa Msuya na jinsi alivyoamrisha Wamasai kusumbuliwa,kuadhibiwa,kudhulumiwa na hatimae kufukuzwa maeneo yale ya Mwanga,Hedaru na kwingineko!?

Kuna mangi mno,lakini sina muda kwa leo.

Ahsanta
 
Sicheki nchi kupata misaada, ila kutaka uhuru ili ipate misaada



Sasa Mkuu hizo si ndo mentality ya takriban nchi zoote za ki-afrika/Developing World na Viongozi wake!?

Sasa kwanini Zanzibar iwe exceptional kwenye ulimbukeni huo!?...embu chungulia kiduchu pale South Sudan na East Timor!?

Ahsanta.
 
Mwenyekiti wa kamati yako kasema hamtaweza kwasababu mapato yenu ni bilioni 240.

Hapo hakuna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, elimu ya juu achilia mbali mishahara na mambo mengine

Jiulize kwa bajeti ya znz ya bilioni 700 na mapato ya bilioni 240 pengo linazibwa na nani.

Nikuulize tume ya warioba mumechangia kiasi gani?
Bunge la katiba mtachangia kiasi gani.

Kelele kila siku mnanyonywa wakati ni kupe wakubwa.!

Mkuu Nguruvi kumbe na Wewe unatukanaga yaani wazanzibar ni kupe futa kauli yako mkuu.
 
Wadanganyika ni watu wa ajabu sana,kwenye eac wanambwinya lakini kwenye tanganyika na zanzibar wanaona bora muungano.
 
Mwiba, gombesugu,

..Zanzibar ni ndogo kieneo na kiuchumi.

..kuitia ktk muungano na Tanganyika ni kutafutana ubaya na lawama.

..haya mambo tumekuwa tukiyasema kwa muda mrefu sana hapa JF.

..tunaposema hayo wengine mnafikiria tumeamua kuwavunjia heshima lakini huyo mwakilishi kasema ukweli.

..labda nikupeni mfano mdogo: kabla ya mapinduzi Znz majimbo ya uchaguzi yalikuwa hayazidi 30. sasa hebu angalia wakati huu tuna muungano Znz ina majimbo mangapi ya uchaguzi? majimbo yameongezwa Znz ifanane-fanane na Tanganyika.

cc Nguruvi3, Barubaru





JokaKuu,

Nimekusoma,khabar za siku tele ndugu yangu.

Binafsi nisingalipenda kuchambua kwa kina hapa,maana ni kweli usemavyo yakuwa haya majambo yameshajadaliwa mno humu Jf,tena kwa nyakati mbalimbali bila ya kupata usuluhishi/ufumbuzi!?

Lakini hapo sina maana yakuwa tusizungumzie tena,hasha...nafikiri ni uzuri kwa soote kila mara ku-revisit kwayo.

Nafikiri tatizo kubwa mno lililopo ni dasturi za hao Viongozi wetu khasa wa ngazi za juu/Wanasiasa kutokua wakweli na kuweka majambo/masuala yoote bayana!?

Hii ni mojawapo ya urithi mbaya mno tulozoea/tulolazimishwa tangia awamu za kwanza kwa pande zoote mbili za huo "Muungano"...Tanganyika/Zanzibar.

Na utayakinisha kuwa,hata hao Viongozi woote wa vyama takriban vyoote vya upinzani/siasa,tangia Tanganyika na Zanzibar yake,nao pia si wakweli kiundani. Yaani kila mmoja anavutia kwake tena kwa agendas na propagandas zenye kukidhi malengo yao tu ya kibinfasi/kisiasa,wala si kwa maslahi ya Taifa au Wananchi!

Ndo maana,sisi Wananchi wa hali za chini mno,khasa tuishio vijijini tutaishia tu siku zoote kutoa theories,kujibizana kwa ghadhabu na kunyoosheana vidole vya macho mitandaoni-Jf,lakini bila ya suluhu au muafaka wenye maana!?

Hata hivyo nimependa yakuwa kama dasturi yako,unajitahidi mno kutumia lugha ya kiungwana.

Kuhusu huo mfano wako kiduchu ulotoa hapo mwisho wa hiyo bayana yako;ati Zanzibar imejifaragua kuongeza majimbo ya uchaguzi ili "ifanane" na Tanganyika/Bara!? Yaani imenilazim kucheka kiduchu....

Kwani hiyo population ya Zanzibar kwa sehemu mbalimbali visiwani mle ndo ile ile tangia ile 1964!?...haijawahi kuongezeka japo kiduchu!?

Sasa kama kuna mabadiliko/ongezeke la population kwenye maeneo/majimbo mbalimbali visiwani humo,sasa huoni yakuwa hali hiyo ndo ilofanza wao kukidhi haja ya kuongezeka kwa majimbo ya uchaguzi,badala tu ya kudai ati wamefanza/wanafanza hivyo kwa kutaka "kujifananisha" na hiyo Tanganyika!?

Nimefurahika
tumezungumza japo kiduchu,nami tajitahidi kufuatilia huu mnakasha kwa utuvu.

Ahsanta.
 
Mkuu Nguruvi kumbe na Wewe unatukanaga yaani wazanzibar ni kupe futa kauli yako mkuu.


Boko Haram,

Yaani jamaa yetu Nguruvi3,katukana mno humu ndani tena kwa mipasho ile ya kwenye kanga na kebehi kadhaa wa kadhalika! Dah!

Haina neno,ndo Nguruvi3 huyo!

Ahsanta.
 
Muda umefika serikali iongelee wazi kuhusu muungano, ni idara zipi za serikali zipo chini ya muungano na kila upande wa muungano unachangia kiasi gani, haya malalamishi yametuchosha, just call a spade a spade. ili watanzania wachambue waamue kama kweli huu muungano ni mzigo kwa ZNZ, basi wajitoe/tuachane au tugawane kuliko kuendelea kuumiza/kuunyonya upande mwingine.

inawezekana 1964, Muungano ulikuwa ni kitu cha manufaa kwa wote ZNZ na Tanganyika , lakini leo 2013 manufaa hayo hayapo tena, kwa nini serikali zote mbili zisilijadili hili kiundani na kwa uwazi ili wananchi tufanye maamuzi.
 
Mwenyekiti wa kamati yako kasema hamtaweza kwasababu mapato yenu ni bilioni 240.

Hapo hakuna bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani, elimu ya juu achilia mbali mishahara na mambo mengine

Jiulize kwa bajeti ya znz ya bilioni 700 na mapato ya bilioni 240 pengo linazibwa na nani.

Nikuulize tume ya warioba mumechangia kiasi gani?
Bunge la katiba mtachangia kiasi gani.

Kelele kila siku mnanyonywa wakati ni kupe wakubwa.!



Kwanini tusiweze mwanzo tuliwezaje hadi sasa tushindwe kwani nyinyi bajeti yetu munaishi vipi si kwa misaada toka kupata kwenu uhuru ndo maana nasema munajitia upofu musonao, sisi tu munaitizama bajeti yetu lakini yenu kimyaa tena basi kwa upumbavu wenu munaona kama sisi hatujui kama munaomba kwa kwa kutumia jina la TANZANIA na si kwa Tanganyika na si hamjui kwamba hamjui ni wizi tuu nitakupa kidokezo ukisoma ibara ya kwanza 1(a) 1977 inasema TANZANIA NI JAMHURI HURU ILIYOUNGANA sasa chochote ambacho kinaombwa kwa kwa jina la Tanzania ni cha wote na kile ambacho munaomba kwa Tanganyika ni cha kwa Tanganyika peke yake UNLESS STATED OTHERWISE (TANZANIA IS TANGANYIKA.)


TUACHIWEEEE TUPUMUWEE 50 YRS IS ENOUGH.
 
Kwani bajeti ya kuendesha serikali ya muungano baada ya kuundwa serikali tatu imeshatoka? Mbona tumeambiwa serikali hiyo itakuwa ndogo sana na gharama zake kuwa ndogo pia. Hizo takwimu anazotoa nadhani ni za kuendesha serikali ya sasa ya Tanganyika ambayo ndiyo serikali ya muungano kwa maana kwamba ndiyo inayoitawala Zanzibar pia.
 
Kwanini tusiweze mwanzo tuliwezaje hadi sasa tushindwe kwani nyinyi bajeti yetu munaishi vipi si kwa misaada toka kupata kwenu uhuru ndo maana nasema munajitia upofu musonao, sisi tu munaitizama bajeti yetu lakini yenu kimyaa tena basi kwa upumbavu wenu munaona kama sisi hatujui kama munaomba kwa kwa kutumia jina la TANZANIA na si kwa Tanganyika na si hamjui kwamba hamjui ni wizi tuu nitakupa kidokezo ukisoma ibara ya kwanza 1(a) 1977 inasema TANZANIA NI JAMHURI HURU ILIYOUNGANA sasa chochote ambacho kinaombwa kwa kwa jina la Tanzania ni cha wote na kile ambacho munaomba kwa Tanganyika ni cha kwa Tanganyika peke yake UNLESS STATED OTHERWISE (TANZANIA IS TANGANYIKA.)TUACHIWEEEE TUPUMUWEE 50 YRS IS ENOUGH.
Mapato ya Tanganyika ni kiasi gani?
 
Mkuu Nguruvi kumbe na Wewe unatukanaga yaani wazanzibar ni kupe futa kauli yako mkuu.
Kama watoto wanasoma hujui wanasomeshwa na nani, kama unawasha umeme hujui unalipiwa na nani, kama unapata mshahara hujui chanzo chake na kama unaalikwa Dodoma na kupewa pesa nusizojua zinatoka wapi wewe ni KUPE.
Tena neno kupe ni zuri maana linastaha, lilitakiwa neno haswa linaloshabihiana na hali hiyo.
Ndio uliberali au ni uhafidhina?

Kibaya waliokwenda Dodoma ni kutoka pande zote za Liberali na uhafidhina.
Kule kwetu Pongwe na Mjasani ukiomba omba wanakuita mpiga mizinga, ukipokea tuu bila kuhoji wanauliza mwenzetu vipi?
 
Mimi sipendi kubishana na kichwa maji., ww ungekuwa mzalendo wa kweli na unaipenda nchi yako kwanza ungesimama kidete ukaidai Tanganyika yako kama tunavyoidai sisi Zanzibar yetu, ili utoke katika utumwa wa mkoloni mweusi.

Zanzibar kuwa na uwezo ama kutokuwa na uwezo kuichangia serikali ya muungano si muhimu tn kwa sasa na imeshapitwa na wakati., Muungano ni jambo la hiyari sisi tumeamua kuidai nchi yetu. Historia inaonyesha Zanzibar ilikuwa nchi huru ambayo ikijiendesha mambo yake kwa salama kabisa kabla ya kuungana na Tanganyika.

Kinachowauma Tanganyika leo ni kuona zanzibar inadai mamlaka yake iliyokuwanayo hapo awali na ndo sasa munatafuta sababu na visingizio ambavyo kutokana na muda sasa ni kama ''Kujamba Mtoni'' we will not stop mpaka bendera ya Zanzibar ipepee UN. Kwanini Tanganyika muumie kwa Zanzibar kudai mamlaka yake? Kwanini mutunganganie na hatuwataki?.

Zanzibar ilitoa herufi 3 na Tanganyika heruf 3 tukatengeneza neno Tanzania. Kwaiyo sisi tunadai zanzibar yetu nyinyi rudieni jina lenu la awali Tanganyika msikubali utumwa wa kijinga jinga., mulipaswa na nyinyi kuwa mstari wa mbele kudai mamlaka ya Tanganyika yenu.

Tuachieni pilau yetu ndio chakula wanachokula watu wenye fedha duniani nyinyi pigeni ugali wenu na madagaa pamoja na viazi vitamu ule msimu ukifika .,,
Si kweli, hakuna mzanzibar anayethubutu kudai nchi yake.
Wote wanaongea chumbani na uvunguni mwa vitanda, tena wanabweka wakiwa na wamefunga taulo mbela ya ahali zao. Wakitoka nje kimyaa! nitakueleza

1. Tuliwaambia kura ya maoni kuhusu mustakabali wa znz, mkagoma na kujiminya minya
2. Tukaawambia acheni msishiriki tume ya Warioba, mkudai wajumbe sawa hata kama hamjui wanalipwa na nani
3. Tukawaambia nyote mkatae serikali 1.2.3 kilichofuata ni muungano wa mkataba.
Mkagoma kuchomoa mnataka kujificha na kusetiri dhiki zenu kwa mgongo wa mkataba
4. Tukawaambia msichague wajumbe wa bunge la katiba, akili zenu zikwatuma mdai wajumbe zaidi
5. Juzi Wajumbe wa BLW walikuwa Dodoma wanakula msasa na posho, hawakugoma kuja.

Hakuna mzanzibar mwenye nyodo ya kukataa muungano. Tumeshathibitisha na tunasema wazi hakuna!
Ninyi mkae kimya tu mpate mafaio ya sasa na uzeeni. Mnapata mafao kuanzia mnasoma bura hadi kazi na uzeeni. Hakuna anayedai nchi, ni wapiga kelele tu wamejaa
 
Back
Top Bottom