Na Tanganyika wanaona Zanzibar mnauza mbuga zao, misitu yao, bandari zao, ardhi zao na kila aina ya udhalimu mmewafanyiaZanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Kwann vikao vya kuchagua Viongozi havifanyiki Zanzibar?
Uliyosema sio kweli, kinyume chake ndio kweli.Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Dodoma ndio inaamua Viongozi wa MwanakerekweKwann vikao vya kuchagua Viongozi havifanyiki Zanzibar?
Kumbe visa zenji hawapati kitu? Haiko sawaZanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Ni muda tu haujafika tunafanya kama alivyofanya India kwa Kashmir. Hizo kelele ziisheZanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Shirikisho la ZanzibarTunajivunia uzanzibari ukaazi
Wazanzibari hamna tofauti na kupe. Mnapenda Muungano wa changu changu, chako changu.Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Upo wapi kaka in the meantime mnagawiwa umeme Zanziber hakuna habari ya mgao...wewe kaa na elimu yako.Hata kulipa umeme tu Zanzibar haiwezi. Acheni kujidanganya, urithi wa kwanza kwa taifa lolote ni ardhi, kisha watu.
Zanzibar haina ardhi ya kutosha wala rasilimali watu. Elimu huko visiwani ni duni mno.
Ushan'fahamu?Upo wapi kaka in meantime mnagawiwa umeme Zanziber hakuna habari ya mgao...wewe kaa na elimu yako.
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana. Viza zinatolewa Tanganyika pesa inaliwa Tanganyika. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).