ZANU-PF maji ya shingo Zimbabwe

Waafrika wakichafue wazungu wakimbie wote. Wazungu wapo Zimbabwe kwa faida yao na sio kwamba wanaipenda iyo Zimbabwe {North Rhodesia} ¶¶¶¶∆
ni Zambia... Zimbabwe ni southern
 
Ile ziara ya Mnangagwa Tanzania ilikuwa na kazi kubwa sana kuelekea uchaguzi huu.

Kuna kamati fulani ya ufundi inawekwa sawa.

Lazima utasikia kuna waangalizi wa uchaguzi kutoka Tanzania wameenda huko.
makamba hatakuwa mmoja wao kweli?
 
Nimeona news France 24,,jamaa yuko anapiga kampeni watu wachache ,nilichoshangaa wengi wazungu na wamevaa nguo/kofia na skafu za ZANU - PF
hii ina tuma picha ktk mataifa ya magharibi kuwa ndugu zao wamepata kibalaka hivyo wamtetee... au wendelee kupata mtu atakae wakandamiza warudi walipotoka kama zamani... chaguo ni lao...
 

"matokeo ya urais nitasimamia mwenyewe, wananchi msiwe na wasiwasi"...peoooooples power
 
CHAMA CHAKAVU kama CCM!!!!!!!!!!
 
kuna tofauti sana kati ya Tanzania na Zimbabwe , Wakati polisi wa Tanzania ni sehemu ya ccm , polisi wa Zimbabwe wanasimamia sheria na wako upande wa wananchi
Wasema nini ????
Zimbabwe hii hii ya Wandebele au kuna Zimbabwe ambayo wewe unaizungumzia hapa ???
Mkuu tembelea Zimbabwe na usome vizuri historia yao halafu ndiyo uje utoe maoni yako.
 
Wasema nini ????
Zimbabwe hii hii ya Wandebele au kuna Zimbabwe ambayo wewe unaizungumzia hapa ???
Mkuu tembelea Zimbabwe na usome vizuri historia yao halafu ndiyo uje utoe maoni yako.
kwamba wandebele wameumbwa kupata shida tu ? , Chamisa katika ubora wake !
 
kwamba wandebele wameumbwa kupata shida tu ?View attachment 817122
Polisi na Intelligentsia za Zimbabwe ni very Brutal.
Majaji waliokataa wazungu wasiporwe ardhi walikuwa wanasakwa kama panya.
Jambo ambalo hata hapa kwetu sisi lilitokea mara chache, tena miaka ya nyuma kweli.

NB: Wewe hili la kusema kwamba Polisi wako na wananchi umelitoa wapi ??
 
Mabadiliko hutokea , leo Mnangwaga anasema hakuna mzungu atakayenyang'anywa shamba !
 
Fuatilia post zake utamuelewa huyu huwa yuko radhi kumsapoti hata shetani ili mradi awe mpinzani wa asiyempenda
 
Kwa afya ya wanazimbwabwe Mzee mzima anafaa kumuunga mkono huyo Kijana ilikuijenga Zimbwabwe pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…