Mkuu samahani 'MODEM' ni nini? Na kazi zake ni zipi?50% na sasa zinauzwa kwa TSH 25,000 badala ya TSH 49,900. Vile vile wameongeza baadhi yavifurushi vimeongezwa kwa 100% bilakuongeza bei.
50% na sasa zinauzwa kwa TSH 25,000 badala ya TSH 49,900. Vile vile wameongeza baadhi yavifurushi vimeongezwa kwa 100% bilakuongeza bei.
Zantel wamepunguza bei za modem zao kwa
Mkuu samahani 'MODEM' ni nini? Na kazi zake ni zipi?
Ungekuwa karibu ningekuzaba kibao halafu nikakwambia samahani. Wewe una access ya internet halafu haujui maana ya modem!!!!! Ama kweli kuna watanzania wavivu balaa! Huwa unatumia Google Kama umejibu ndy nakuzaba kibao kingine!
Im sorry.:bored:
Naomba kuuliza, inawezekana kuunlock hiyo modem ya zantel kwa sababu coverage ya zantel ni ndogo mno
Hivi shemeji umemfahamisha wakati unataka ku-comment hiyo kwa amoeba?! teh tehAmoeba inaelekea unapiga sana(......)duh
et 500Mb 8000! Hahaha hlf wanaita spcl bundle! For sure kwa sasa huduma ya data nzur na ya uhakika ni airtel na ttcl tu!