Zantel wapunguza gharama za internet

Airtel hakuna mb4oo bali ni 500 lakn pia utalipia 12000/= kwa mwezi na mb25 ni 1500/= kiujumla imekuwa ghali sana. Utapata mb50 kwa 500/= kwa siku moja. Kwa maelezo zaidi bonyeza *154*44#
 
naomba kuuliza wapendwa, UNLIMITED ya Zantel ikoje, hakuna vigezo vingine hapo kweli? Speed je? Nimeipenda, bora hiyo kuliko banjuka na bomba30
 
Hivi bundle za zantel zinanunuliwaje tena? Sijui nani ka-format hii kichwa saa nimelala. Itabidi niiweke password!
 
Mtupe jinsi ya kujiunga. Wenye matatizo ya kuunganganisha highlife kisa hawajatumia 5000 kwa wiki Pm to me no.0775... zenu niwaconnectie kuna jamaa yangu kwa wika anakuwa ashatumia kama laki.
 
Nimejaribu kuweka unlimited siku tatu with no avail... :-

nimepiga *149*07#; nichagua intanet, 3g modem (4);
then nikachagua intaneti bika kikomo (2); ikaniambia sina salio la kutosha.., (nilikuwa na buku 2), nikaweka buku tano na kurudia steps hapo juu..,
ikaniambia ombi lako limetumwa..,
baada ya muda ikaja message inaniambia "dear customer please try again or contact customer care.., (nimejaribu kama mara tano tayari same message inakuja...)

Sasa nimechoka ngoja kwa sasa ni-BANJUKE na TTCL tawapigia simu jamaa kesho
 
Zantel wamelaunch 3g kwa upande wa zanzibar jana. Huku bara its better kujiunga na huduma yao ya CDMA kama upo kwenye coverage yao. Piga *149*07# then chagua 1. 'Huduma ya ezynet'
then chagua 3.'vifurush vya ezynet'. Then bonyeza 1 'siku' then bonyeza 3. Ili kupata '3 days unlimited' bonyeza
 

tWEnde mbele turudi nyuma......400 MB for Tsh. 2500/= is simply the BEST and very much affordable uki compare na network zingine........Airtel is making a lot of money in this service. 90% ya watanzania (internet users) wanatumia hii kitu.
 
Kamanda sijui tatizo lako nitakusaidiaje manake na sisi ndo njia hiyo hiyo tunayoitumia iwaje kwako ikatae.
mimi mbona nikituma INTRENET kwenda 15444 Meseji inafeli jamaaani msaada plz
 
Mimi nimejunga na airtel kwa kuandika internet kwenda 15444 nikiwa na tsh 10000 wakanikata 2500 wakanipa 400mb nikatuma tena mara mbili wakanikata tsh 5000 wakanipa 800 total zikawa 1200 kwa tsh 7500, ndo maana na kuambia piga uwa garagaza hakunaga zaidi ya airtel ndo maana oimehamia airtel mimi na jamii yangu yote.
 
ahaha wamerudi kwenye bei ya kuuzia! sasa na sisi tutarudi! Part of etsalat kitu gan bwana!
 
sisi tunatumia pdproxy/cproxy free

Mkuu acheni kusema sana hii kitu. Humu jamvini active members nadhani wote wameshajua. Hii kitu ikipigwa pini tutaonana kwa kubeep humu jamvini, si wote wenye uwezo wa kununua bundles frequently.
 
wakuu,hii unlimited yao ya siku 3 kwa buku 5 nimeijaribu kusema kweli nimeipenda.Hawana limitation ya speed ndani ya hizo siku 3,mpaka sasa nimeisha download zaidi ya GB 4 na bado ninaendelea kutesa.BIG UP ZANTEL
 
Gharama bado zipo juu mno kwa mitandao yote ukilinganisha na mataifa mengine. Kwa sasa kuna baadhi ya watu ukiwambia internet wanaona kama vile anasa. Bado tuna safari ndefu mpaka kufika kwenye ghara zinazotufaa.
 
wakuu,hii unlimited yao ya siku 3 kwa buku 5 nimeijaribu kusema kweli nimeipenda.Hawana limitation ya speed ndani ya hizo siku 3,mpaka sasa nimeisha download zaidi ya GB 4 na bado ninaendelea kutesa.BIG UP ZANTEL

Kiukweli hata mimi naanza kuikubali, ni unlimited ya ukweli. Tuombe mpango mzima uendelee hivi hivi kwani kwa wale wapenzi wa kushusha movies,softwares na kuwatch games,videos,live sports etc online nadhani hii package it is very fair. Big up zantel, mdumu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…