Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kampuni ya zanzibar telecom ambayo hivi karibuni imeuza 85% hisa zake kwa kampuni ya Millicom inayo julikana kama Tigo inategemea kupunguza wafanyakazi wake ktk kila idara ili kubana matumizi.. Hayo yamesemwa kwenye Tangazo lililo tolewa na mkuu wa kampuni mpya wa kampuni hiyo... mkuu huyo amawaahidi wafanyakazi wote kupata haki zao japo litakua ni jambo si zuri sana kwa kampuni na kwa wafanyakazi watakao kumbwa na punguzo hilo..