Zantel huawei c122 imeshindikana kabisa kui unlock?? Msaada jamani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
NDUGU,niaje aisee naomba Mnisaidie njia na steps za ku unlock hii moderm,coz inatumia laini ya zantel tu na huku nilipo sasa hivi mbinga-songea hakuna network ya zantel ila kuna airtel,voda na tigo. naomba msaada kama Kuna njia yoyote ya kui unlock hii moderm....ASANTENI
 
Naona hakuna soln maana hata mie ninayo nimeitupia mchagoni nikisubiri jamaa washushe bei au waje na offer kama ya usiku wa Mabundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom