dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Nimejaribu kui unlock modem ya tigo ya 'Huawei E303c'
kwa kutumia software iliyowekwa ya hapa ukumbini katika post
iitwayo, https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/303310-finally-huawei-e303-unlocked.html
Nimejaribu lakini inaishia kati hata kwenye kuweka flash code haifiki.
Sijajua tatizo nini au software haiko sawa naomba msaada wenu.
Inasema hivi, Error Code:12, Get divice information failed.