Zantel 4G

Zantel 4G

lameck laedo

Senior Member
Joined
May 15, 2016
Posts
174
Reaction score
76
1469522788411.jpg
Hii kitu inaukwel wowote.? Nimekuta kwenye account yao ya twitter
1469522860946.jpg
 
Zantel 4g ni yakitambo sema Wali launch kwanza zanzibar.

Yani Halotel wakiweka tu 4g na hivi vifurushi vyao vikibaki kama vilivyo ndio basi tena... Maana kwa sasa line zote za 4g ninazo Voda, Tigo, Ttcl lakini na endelea kurudi tu halotel bila kupenda
 
Hapo umeongea point ishu ni vifurushi tu
 
Zantel ofisi zenu zipo wapi ?natafuta dodoma,iringa na mbeya .msaada kwa wanaojua zilipo
 
Mikoa yote ambayo tigo wana 4G zantel nayo wanayo....

Zantel itasambaa kwa kasi kuazia august...

Band wanayotumia kwa sasa ni 800 watakuja na 900..

SITAKI MASWALI SUBIRINI MATOKEA
 
Zantel 4g ni yakitambo sema Wali launch kwanza zanzibar.

Yani Halotel wakiweka tu 4g na hivi vifurushi vyao vikibaki kama vilivyo ndio basi tena... Maana kwa sasa line zote za 4g ninazo Voda, Tigo, Ttcl lakini na endelea kurudi tu halotel bila kupenda
Kiukweli halotel wana vifurushi vya ukweli mno....Wakivitengua watakuwa wameharibu kila kitu
 
Back
Top Bottom