Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,724
- 729,891
Ni mapambazuko ya siku nyingine tena...wengine tayari wako barabarani wakielekea mishemishe, wengine wakiwa kwenye usingizi mtamu wa alfajiri, na sie wengine ndio tukirejea ngamani baada ya kukesha kizani kwenye giza totoro na hatari za kila aina...ni sehemu ya maisha lakini wote hatuwezi kulala usiku wala wote hatuwezi kulala mchana
Hebu tujadiliane kidogo kuhusu zana za kishetani...fikiria kwa haraka unapata picha gani unapoulizwa kuhusu zana za kishetan.
Mapanga na majambia na visu kama hiyo picha hapo?
Hirizi na matunguli?
Mabomu na mabunduki?
La hasha kuna zaidi ya hayo tena ya kawaida kabisa.....kwenye imani zetu tunaaswa kulinda mioyo yetu kuliko chochote tukilindacho kwakuwa kutoka humo ndio chemchemi ya uzima hupatikana!kumbuka huko Mbinguni/peponi hauendi mwili bali roho...
Tunaaswa kuulinda moyo kwakuwa ndio jumba la roho roho ndio uzima!
Ni kutoka katika moyo wako huo kuna vyumba viwili
1.chumba chenye zana za kimungu
2.chumba chenye za za kishetani
Point yangu iko kwenye chumba cha pili..sahau kuhusu illuminant sahau kuhusu freemason na satanism na mapicha yake makubwa yanayotisha
Zana hatari kabisa za kishetani unatembea nazo na umezihifadhi vizuri kweli tena unazilinda hasa na unaingia nazo popote ikiwemo kwenye nyumba za ibada
Ni ndani ya simu yako hiyo! Ipad laptop na hata computer ofisini , humo una kila aina ya zana za kishetani kuanzia picha za ngono video jumbe mbalimbali, mipango ya kutekeleza mambo mabaya ya kikatili na hata mauaji
Ni hicho kifaa chako unachokiona cha kawaida kimekuwa chanzo cha kuogofya mno cha mipango mingi ya kishetani duniani na hata utekelezaji wake.
Ni hicho kifaa kidogo potable kimekuwa ndio chanzo na chachu ya mmomonyoko wa maadili na kufundisha kizazi cha kesho mambo mabaya na ya kutisha kabisa....jamii inaangamia kupitia hapo
Utakapoamka na kusoma post hii hebu chukua simu yako na kuperuzi uone umehifadhi nini ndani yake! Angalia kuwa makini hubebi silaha inayoua kwa macho lakini una lethal weapon inayoua kwa macho na kiroho pia
You are grown up wewe ni mshika dini na unajivunia maadili futa uchafu wako wote kwenye hiyo simu ipad laptop na hata computer yako ofisini