Zana za kishetani

Zana za kishetani

Nikweli kabisa haya ma-tablet dah , ila kuna vitu vya muhimu tunajifunza vizuri sana kama hizi post zako na vingine vingi
 
Ni sawa na kisu jikoni au umeme au moto au hata sumu ya wadudu na hata dawa zinazotuponyesha...
Vitu hivi vina hasi na chanya, ukivitumia kwa usahihi mambo yatakuwa mazuri kinyume chake hivyo vitu ni silaha za maangamizi
 
Mkuu mada zako ni tata sana lakini zenye ujumbe murua sana ndani yake.Ubarikiwe
 
Ni mapambazuko ya siku nyingine tena...wengine tayari wako barabarani wakielekea mishemishe, wengine wakiwa kwenye usingizi mtamu wa alfajiri, na sie wengine ndio tukirejea ngamani baada ya kukesha kizani kwenye giza totoro na hatari za kila aina...ni sehemu ya maisha lakini wote hatuwezi kulala usiku wala wote hatuwezi kulala mchanaView attachment 356307hebu tujadiliane kidogo kuhusu zana za kishetani...fikiria kwa haraka unapata picha gani unapoulizwa kuhusu zana za kishetani
Mapanga na majambia na visu kama hiyo picha hapo?
Hirizi na matunguli?
Mabomu na mabunduki?View attachment 356308la hasha kuna zaidi ya hayo tena ya kawaida kabisa.....kwenye imani zetu tunaaswa kulinda mioyo yetu kuliko chochote tukilindacho kwakuwa kutoka humo ndio chemchemi ya uzima hupatikana!kumbuka huko Mbinguni/peponi hauendi mwili bali roho...
Tunaaswa kuulinda moyo kwakuwa ndio jumba la roho roho ndio uzima!
Ni kutoka katika moyo wako huo kuna vyumba viwili
1.chumba chenye zana za kimungu
2.chumba chenye za za kishetani
Point yangu iko kwenye chumba cha pili..sahau kuhusu illuminant sahau kuhusu freemason na satanism na mapicha yake makubwa yanayotisha
bdd7b86537f8b6e9f956896b6b079354.jpg
zana hatari kabisa za kishetani unatembea nazo na umezihifadhi vizuri kweli tena unazilinda hasa na unaingia nazo popote ikiwemo kwenye nyumba za ibada
Ni ndani ya simu yako hiyo! Ipad laptop na hata computer ofisini , humo una kila aina ya zana za kishetani kuanzia picha za ngono video jumbe mbalimbali, mipango ya kutekeleza mambo mabaya ya kikatili na hata mauaji
Ni hicho kifaa chako unachokiona cha kawaida kimekuwa chanzo cha kuogofya mno cha mipango mingi ya kishetani duniani na hata utekelezaji wake
Ni hicho kifaa kidogo potable kimekuwa ndio chanzo na chachu ya mmomonyoko wa maadili na kufundisha kizazi cha kesho mambo mabaya na ya kutisha kabisa....jamii inaangamia kupitia hapo
a70752b99a941f4bb0f51ac8f776ad00.jpg

Utakapoamka na kusoma post hii hebu chukua simu yako na kuperuzi uone umehifadhi nini ndani yake! Angalia kuwa makini hubebi silaha inayoua kwa macho lakini una lethal weapon inayoua kwa macho na kiroho pia
You are grown up wewe ni mshika dini na unajivunia maadili futa uchafu wako wote kwenye hiyo simu ipad laptop na hata computer yako ofisini [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji26] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Babu uk o vzr sana katika kuelimisha
 
Mkuu uko sawa kbs.
Weng tu nimewashuhudia wana picha za ngono wamehifadh kwen sim na pc lkn kweny ibada hawakos kwenda. Mwingine unaweza kukuta ana miahad na mtu wake siku ya ibada. Kwahiyo anapotoka tu moja kwa moja kwenda kugegedana
 
Hahahaaaa... mizana ya kishetwani watu wakajua ni mapanga yenye kutu, ya shilingi elf 3 kumbe ni ka smart phone ka laki 3
 
Kuna baadhi ya wadau hapa JF ni mahiri mno kukosoa tena kwa matusi na kejeli nyingi mada za mambo ya kishirikina...hawa wanajifanya ni watakatifu hasa lakini hebu waambie wafungue smart phone zao uone kilichopo humo ndani
 
Mkuu uko sawa kbs.
Weng tu nimewashuhudia wana picha za ngono wamehifadh kwen sim na pc lkn kweny ibada hawakos kwenda. Mwingine unaweza kukuta ana miahad na mtu wake siku ya ibada. Kwahiyo anapotoka tu moja kwa moja kwenda kugegedana
Shetani mjanja sana anakuacha uende ibadani lakini kibindoni ndani ya simu yupo katulia tuli akikuelekeza cha kufanya
 
Ni mapambazuko ya siku nyingine tena...wengine tayari wako barabarani wakielekea mishemishe, wengine wakiwa kwenye usingizi mtamu wa alfajiri, na sie wengine ndio tukirejea ngamani baada ya kukesha kizani kwenye giza totoro na hatari za kila aina...ni sehemu ya maisha lakini wote hatuwezi kulala usiku wala wote hatuwezi kulala mchanaView attachment 356307hebu tujadiliane kidogo kuhusu zana za kishetani...fikiria kwa haraka unapata picha gani unapoulizwa kuhusu zana za kishetani
Mapanga na majambia na visu kama hiyo picha hapo?
Hirizi na matunguli?
Mabomu na mabunduki?View attachment 356308la hasha kuna zaidi ya hayo tena ya kawaida kabisa.....kwenye imani zetu tunaaswa kulinda mioyo yetu kuliko chochote tukilindacho kwakuwa kutoka humo ndio chemchemi ya uzima hupatikana!kumbuka huko Mbinguni/peponi hauendi mwili bali roho...
Tunaaswa kuulinda moyo kwakuwa ndio jumba la roho roho ndio uzima!
Ni kutoka katika moyo wako huo kuna vyumba viwili
1.chumba chenye zana za kimungu
2.chumba chenye za za kishetani
Point yangu iko kwenye chumba cha pili..sahau kuhusu illuminant sahau kuhusu freemason na satanism na mapicha yake makubwa yanayotisha
bdd7b86537f8b6e9f956896b6b079354.jpg
zana hatari kabisa za kishetani unatembea nazo na umezihifadhi vizuri kweli tena unazilinda hasa na unaingia nazo popote ikiwemo kwenye nyumba za ibada
Ni ndani ya simu yako hiyo! Ipad laptop na hata computer ofisini , humo una kila aina ya zana za kishetani kuanzia picha za ngono video jumbe mbalimbali, mipango ya kutekeleza mambo mabaya ya kikatili na hata mauaji
Ni hicho kifaa chako unachokiona cha kawaida kimekuwa chanzo cha kuogofya mno cha mipango mingi ya kishetani duniani na hata utekelezaji wake
Ni hicho kifaa kidogo potable kimekuwa ndio chanzo na chachu ya mmomonyoko wa maadili na kufundisha kizazi cha kesho mambo mabaya na ya kutisha kabisa....jamii inaangamia kupitia hapo
a70752b99a941f4bb0f51ac8f776ad00.jpg

Utakapoamka na kusoma post hii hebu chukua simu yako na kuperuzi uone umehifadhi nini ndani yake! Angalia kuwa makini hubebi silaha inayoua kwa macho lakini una lethal weapon inayoua kwa macho na kiroho pia
You are grown up wewe ni mshika dini na unajivunia maadili futa uchafu wako wote kwenye hiyo simu ipad laptop na hata computer yako ofisini [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji26] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sina jinsi zaidi ya kucheka, asante kwa kunikumbusha
 
Kuna Nabii mmoja huwa anaombea watu kwa kutumia sign ya Illuminati, kwa kuuelekeza mkono wake kwa mtu....,( na hulitumia Jina la Yesu)
17e95af76f43370253c7cb4a1f2b9db6.jpg

NB; Namaanisha, kidole gumba lazima akipinde hivyo na vidole kuvinyoosha hivyo
Ni kweli nimemuona jana, baba yangu aliniambia nikaamua kulifatilia, yawezekana nabii huyu si wa kweli.
Dunia imechafuka sana. Kila kona kuna uasi.
 
Back
Top Bottom