SAS alidengua wakati ule Mwalimu akiwa hai, 1985 na 1995. Alipojaribu mwaka 2005 cha moto alikiona toka kwa WANAMTANDAO. Sidhani kama ana hamu ya nafasi hiyo kwa umri na afya yake mwaka 2015. Minyukano hii ya bara ikiendelea kushika kasi tunaweza kuwa na Mzanzibar akawa Rais kwa sera zilizojificha za CCM zilizompa Anna Makinda Uspika, Mohamed Chande ujaji mkuu,...Nawashukuru wote kwa mawazo, japo pia napinga wazo la kumfikiria Karume (mkubwa na mdogo wake) eti nao wanaweza kuwa marais wa Jamhuri. Tutafutieni mwingine huko Zanzibar kama yupo mimi nabaki na wazo langu la Salim kama chaguo bora kwa Zanzibar
Inasemekana kikwete ni mtu safi......Ila Salim A.Salim ni muuaji, Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari kipindi hicho kwemye mbio za uteuzi.Nimekuwa nikihangaika sana kuuliza dhambi na makosa yaliyomfanya Salim A.Salim kushindwa kupata nafasi ya kuongoza nchi hii eti tu kwa mizengwe ya CCM ooooHizbu na kadhalika. Sasa nadhani magamba wameelewa walikosea kumchafua Salim na sasa wanataka mgombea atoke Zanzibar ili Salim aweze kuongoza na kufuta record chafu ya CCM ktk kipindi chote cha JK.
Watanzania tunasikitika tumepiga maktaimu sana kwa kukosa uongozi bora miaka hii kumi sasa bora Salim arudi na tunamuomba asikatae (huenda akasusa kwa vile walimkataa na kumuaibisha).
Ni mawazo tu, kama unadhani mwingine pia ataweza kutuongoza 2015 basi usisite kumtaja vinginevyo CCM uozo hawa watatuletea tena kiongozi mwenye kichwa cha nazi atuongoze.
Nawashukuru wote kwa mawazo, japo pia napinga wazo la kumfikiria Karume (mkubwa na mdogo wake) eti nao wanaweza kuwa marais wa Jamhuri. Tutafutieni mwingine huko Zanzibar kama yupo mimi nabaki na wazo langu la Salim kama chaguo bora kwa Zanzibar
Nimekuwa nikihangaika sana kuuliza dhambi na makosa yaliyomfanya Salim A.Salim kushindwa kupata nafasi ya kuongoza nchi hii eti tu kwa mizengwe ya CCM ooooHizbu na kadhalika. Sasa nadhani magamba wameelewa walikosea kumchafua Salim na sasa wanataka mgombea atoke Zanzibar ili Salim aweze kuongoza na kufuta record chafu ya CCM ktk kipindi chote cha JK.
Watanzania tunasikitika tumepiga maktaimu sana kwa kukosa uongozi bora miaka hii kumi sasa bora Salim arudi na tunamuomba asikatae (huenda akasusa kwa vile walimkataa na kumuaibisha).
Ni mawazo tu, kama unadhani mwingine pia ataweza kutuongoza 2015 basi usisite kumtaja vinginevyo CCM uozo hawa watatuletea tena kiongozi mwenye kichwa cha nazi atuongoze.
Kumbukeni JK alisema hatomwachia mkristo hii nchi.Msitumike!