Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kwani Zanzibar kuna mkristo, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete ...................nafikiri nimeeleweka.
Zanzibar kutoa rais wa muungano wasubiri labda hadi 2025 kama bado kutakuwa na muungano vinginevyo ndiyo imetoka hawatatoa milele quote my words.
Hiyo dhima ni nzuri lakini kwenye tanuru la CCM chini ya himaya ya JK wanayo?............ au ni sisi tu tulioko mtaani..................Imefika wakati tuache ya karne ya 20, jamani tuanze kumpata rais kwa uwezo wa kuongoza nchi katika karne hii ya 21. Hivi watanzania tukoje jamani,?
Competence and delivery capability, mwaka 2015, hatutakuwa na mtu kuwekwa na chama tu, alafu anauza sura, alafu eti rais, huu nu upuuzi mtupu, by then, watanzania wengi watakuwa wamekomaa na wamechoka na maumivu ya kiuchumi ya kula vumbi ya miaka hii kumi.
Rais 2015 lazima awe mkristo..................................huo ndo utaratibu uliopo though haujaandikwa popote
Hata mimi nilitaka nikumbushie hilo ila naikahofu nisije nikaitwa mdini.
Kunda trend ambayo ccm haipendi ionekane inaifuta lakini wakristo na waislam wanapeana zamu kuwa mgombea urais wa ccm.
Hilo halina ubishi.
Zanzibar kiongozi mkristo ni nani?
Kitu kimoja mnasahau. Nguvu ya umma. Sidhani CCM itakuwa katika hali ya kulazimisha matakwa yake kwa Watanzania mwaka 2015.
Kwani Zanzibar kuna mkristo, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete ...................nafikiri nimeeleweka.
2015 Atakua mkristo lutheran maana hajawahi kuwa rais
2015 Atakua mkristo lutheran maana hajawahi kuwa rais