Zambian President Sata death: White interim leader appointed

Zambian President Sata death: White interim leader appointed

Mkuu umenena vema,
ubaguzi wa aina yyt ile wa kikanda, kikabila, rangi, dini, cheo, uchama au chochote hautakiwi kabisa, kikubwa ni utendaji kazi na ufanisi, mkubali mtu kwa performance sio aina gani ya mtu

ubaguzi kwa mtu mweupe haufai...lakini hawa WAHINDI akina Rostam wanaoguguna nchi yetu kama panya hatupaswi kuwapa uongozi wowote katika nchi hii. Nashanga CCM na wananchi matutusa wanawachagua kuwa wabunge wao.
 
Hivi wale viongozi wa nchi za kiarabu za Afrika sio whites?

Kwa hakika kilichomaanishwa ni raisi wa kwanza Mzungu barani Afrika baada ya yule kaburu, na siyo Mwarabu.
 
dead man,white kuwa president ni upumbavu wa ajabu,rudia historia ya afrika na marekani,why tunasahau?

ha ha ha ha! wanaCCM bana mna mambo sana! na kwa taarifa yako alashagombea ubunge akiwa upinzani na akashinda! imagine angekuwa kwenye nchi za watu wenye roho mbaya kama akina kikwete mzungu agombee upinzani!! lazima angebambikwa kesi ya ugaidi tu! wazambia wanajitambua sana!
CC: Ritz, MSALANI, ifweero, Money Stunna, tpaul, REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:
Hivi wale viongozi wa nchi za kiarabu za Afrika sio whites?

Hapanaa wale ni wanjano

Galatiaans nani kwaroga na kawaibiaa akilii

Ujingaa mtaaachalini

Kweli mfumo kristo..s ni jangaaaa
 
Mbona katiba ya Zambia inachanganya, nakumbuka alivyofariki Mwanawasa, spika wa bunge Banda ndo alikuwa raisi wa mpito inakuwaje leo makamu wa raisi ndo anakuwa raisi wa mpito.Wadau nipeni uelewa hapa

Alikuwa Banda
 
Achana na ya Zambia kwanza. Hebu tafakarp MUSTAKABARI wa nchi yetu kwanza
 
Leo hapa kina kikwete wanawakana watz walioko nje maana wanjua watabadilisha mambo ndani ya nchi. Hili zee bora liondoke
 
ha ha ha ha! wanaCCM bana mna mambo sana! na kwa taarifa yako alashagombea ubunge akiwa upinzani na akashinda! imagine angekuwa kwenye nchi za watu wenye roho mbaya kama akina kikwete mzungu agombee upinzani!! lazima angebambikwa kesi ya ugaidi tu! wazambia wanajitambua sana!
CC: Ritz, MSALANI, ifweero, Money Stunna, tpaul, REV KISOLO

Na kweli!! sijaona hata chotara kuingia CHADEMA wala NCCR kumbe wajanja wanaogopa! hahahaha
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba tunaomboleza kifo cha rais Sata, lakini pia sio mbaya tukagusia suala la mstakabali wa nchi hiyo katika kipindi hiki cha kuondokewa na mkuu wa nchi yao.

Kufuatia kifo cha rais Satta, baraza la mawaziri la nchi hiyo limeona ni vyema zaidi makamu wa rais wa nchi hiyo (ambae ana asili ya kizungu) kushika wadhifa wa urais mpaka pale uchaguzi utakapofanyika wa kumpata rais mpya wa nchi hiyo.

Kwa maamuzi ya baraza hilo la mawaziri nchini Zambia, ni dhahiri kwamba hawababaishwi na asili ya mtu, bali kubwa ambalo wanajali ni utendaji kazi. Hilo liwe somo kwetu Watanzania.

Asili ya mtu SIO jambo la msingi, kikubwa utendaji kazi.

NB: Nikisema asili nazungumzia mtu ambae ni raia wa moja ya nchi za Afrika lakini ana asili ya kutoka mabara tofauti na Afrika.

Mbona nyie mapimbi na Riziwani wenu mlitamka kuwa raisi ajaye kamwe hawezi kutoka KASKAZINI?
 
....if this was TZ, server za JF zingekuwa zime blow up by now!

On the other note, this should be a learning experience to many. Guy Scott's resume is impeccable!, but he might not be able to be the Commander in Chief of his OWN country just because so and so had a beef with so and so, and so he decided to change things around so that so and so wouldn't be able to enjoy fruits of the country the way they do.

Miafrika ndivo tulivo Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Huenda tukaona mabadiliko ya nchi maana hawa wakoloni weusi bure kabisa

Wajaribu mpa nafasi waone, junguus might flock in Zambia to invest with confidence in the one "who look like them"...lolest!
In 2yrs Zambia itakuwa ka Ulaya ndogo vile:wacko:
 
Wajaribu mpa nafasi waone, junguus might flock in Zambia to invest with confidence in the one "who look like them"...lolest!
In 2yrs Zambia itakuwa ka Ulaya ndogo vile:wacko:

Waafrika bado tuna tatizo la kutojiamini, maana tukisikia mtu mweupe tunawazia Utumwa. Kila siku tunapiga kelele kuwa tunabaguliwa na watu weupe kumbe nasi ni wabaguzi (Makaburu weusi). Naamini waliomteua huyu jamaa wanamjua utendaji wake wa kazi na inawezekana ni mzalendo kuliko hata hawa Viongozi weusi Mchwa, mafisadi, wezi n.k. Tuwahukumu watu kwa utendaji wao wa kazi na siyo kwa rangi zao.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Mkuu ni kwel watu weusi tuna matatzo,unaweza ukawa mweusi lakn ukawa sio mzalendo bora hata mhndi au mzungu aliyezaliwa Tanzania anaweza akawa anauchungu kuliko ngoz nyeus,nakumbuka kuna kpnd tulienda kwenye chuo kmoja uholanz kwenye trip ya mafunzo,tulikuwa group la watu nane,siku moja tukawa tunaongea kiswahli kwenye mgahawa wa kile chuo bahati nzur kukawa na mhndi amekaa pembeni ya meza yetu alivyosikia tunaongea kiswahl akaja fasta akaanza kujitambulisha kwamba yeye anatoka tz,akaanza kutuunganisha na watanzania wengne waliopo pale lakn kwa mshangao hawakuwa na respond nzur kama ya yule mhndi ambaye alifurah kujua tunatoka nch moja,ki ukwel sisi wenyewe ni wabaguz wenyewe kwa wenyewe ndio maana viongoz wanaamua kuiba na kukimbiza hera nje kwa sabab hawana uchungu na nch hii.
 
Back
Top Bottom