Zambian President Sata death: White interim leader appointed

Zambian President Sata death: White interim leader appointed

Kumekucha, muda mzuri wa kulinganisha utawala wa Mzungu na tawala ajabu ajabu za mswahili.
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba tunaomboleza kifo cha rais Sata, lakini pia sio mbaya tukagusia suala la mstakabali wa nchi hiyo katika kipindi hiki cha kuondokewa na mkuu wa nchi yao.

Kufuatia kifo cha rais Satta, baraza la mawaziri la nchi hiyo limeona ni vyema zaidi makamu wa rais wa nchi hiyo (ambae ana asili ya kizungu) kushika wadhifa wa urais mpaka pale uchaguzi utakapofanyika wa kumpata rais mpya wa nchi hiyo.

Kwa maamuzi ya baraza hilo la mawaziri nchini Zambia, ni dhahiri kwamba hawababaishwi na asili ya mtu, bali kubwa ambalo wanajali ni utendaji kazi. Hilo liwe somo kwetu Watanzania.

Asili ya mtu SIO jambo la msingi, kikubwa utendaji kazi.

NB: Nikisema asili nazungumzia mtu ambae ni raia wa moja ya nchi za Afrika lakini ana asili ya kutoka mabara tofauti na Afrika.
 
That is wonderfull kama awababaishwi na asili wala rangi,Hao sio wale wasiopenda uraia pacha,,,
 
Kama mtu huyo mwenye asili ya kizungu ni raia halali wa Zambia kuna ubaya gani kushika huo wadhifa? Au uhalali wa kushika huo wadhifa kwa kutumia rangi ya ngozi?
Tunapaswa kuondokana na mawazo dhaifu kama hayo. Mtu hawi raia wa nchi kwa kutumia rangi ya ngozi yake.
 
Yeah Guy Scot ndio makamu wa rais wa zambia ana asili ya uingereza
 
Mkuu umenena vema,
ubaguzi wa aina yyt ile wa kikanda, kikabila, rangi, dini, cheo, uchama au chochote hautakiwi kabisa, kikubwa ni utendaji kazi na ufanisi, mkubali mtu kwa performance sio aina gani ya mtu
 
Kama katiba inasema Raisi ni lazima wazazi wake wawe Indegineous, mbona sasa huyu atakuwa Raisi kwa miezi mitatu?- je hapo katiba haijavunjwa?, ikitokea mtu akafungua kesi ya kikatiba kule Zambia ni wazi mshikemshike utatokea
 
Cv yake tamu sana. Hebu ilinganishe na ya recent chinese professor!!!
 
guy-scott2_3088684b.jpg

Alipokutana na The Obama's

Anaweza kufanya vizuri sana kwenye hizo siku 90
Je, kwa nini wamefika huko? Ni kwa sababu ya wezi koko kama hawa walioko Magogoni.
​
 
  • Thanks
Reactions: BAK
WanaJF,

Pamoja na kwamba tunaomboleza kifo cha rais Sata, lakini pia sio mbaya tukagusia suala la mstakabali wa nchi hiyo katika kipindi hiki cha kuondokewa na mkuu wa nchi yao.

Kufuatia kifo cha rais Satta, baraza la mawaziri la nchi hiyo limeona ni vyema zaidi makamu wa rais wa nchi hiyo (ambae ana asili ya kizungu) kushika wadhifa wa urais mpaka pale uchaguzi utakapofanyika wa kumpata rais mpya wa nchi hiyo.

Kwa maamuzi ya baraza hilo la mawaziri nchini Zambia, ni dhahiri kwamba hawababaishwi na asili ya mtu, bali kubwa ambalo wanajali ni utendaji kazi. Hilo liwe somo kwetu Watanzania.

Asili ya mtu SIO jambo la msingi, kikubwa utendaji kazi.

NB: Nikisema asili nazungumzia mtu ambae ni raia wa moja ya nchi za Afrika lakini ana asili ya kutoka mabara tofauti na Afrika.

dead man,white kuwa president ni upumbavu wa ajabu,rudia historia ya afrika na marekani,why tunasahau?
 
dead man,white kuwa president ni upumbavu wa ajabu,rudia historia ya afrika na marekani,why tunasahau?

We ndio pumbavu mbaguzi mkubwa.Dunia ya sasa tunaangalia uwezo wa mtu si rangi kwanza huyo mzungu ni raia halali wa Zambia.

Ungekuwa karibu na huo ubaguzi wako ungeipata cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom