huyu jamaa yuko vizuri kwa miaka michache aliyokuwa waziri mkuu amefanya kazi nzuri na rais wake mr sata (rip) ndani ya miaka 4 wameweza kupandisha uchumi wa zambia sasa hivi kwacha ya zambia ina thamani kuliko rand ya south africa
huyu scott aliwaambia vijana government haina kazi so biashara ndogo ndogo ruksa tax free
huyu scott aliwaambia vijana government haina kazi so biashara ndogo ndogo ruksa tax free