Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,411
- 111,789
Kumbe ...umefukua makaburi ya nyuma
Mkuu, kuna kitu nilikua nakitafuta kuhusu Zamaradi..... Sasa nilipo ipata hii habari ndipo nikajikuta naongea kwa sauti ya mshangao "kumbe nilikua naandika"...[emoji12] [emoji12]Imekuaje tena kubeba machepe kwenda kufukua makaburi ya watu