Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Ruge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akimbembeleza huku akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,
"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Sio kwao Rwanda?Sio case ahamie tu Nigeria
Nlitaka kusema hivyo hivyo, wao uzalendo ni kuwa ccm na kuwa upande wa the oppressors sasa ndio mana wakikosa watu wanafurahia, yan ujinga ujinga tu aisee,Fisiemu ni fisiemu TU
Yes hta huko sio mbayaSio kwao Rwanda?
Shangaa na wewe ili leo aje aone hatuna uzalendoApambane na hali yake. Yeye aliyokua anawafanyia wenzie pale clouds wakati ruge anamlala hakuuona uchawi ule?
Alilogwa na mbolo ya mwanaume mpya aliyekutana naye.Ruge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?
I Kwenye kila kituMtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.