Zamaradi Ajifungua........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zamaradi Ajifungua...........

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amavubi, Apr 10, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  Na Shakoor JongoMtangazaji wa Kipindi cha TAKE ONE cha Clouds TV, Zamaradi Mketema juzikati alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Aga Khan na kumshukuru Mungu kwa kuutua mzigo huo salama.Akichonga na Ijumaa hivi karibuni jijini Dar, Zamaradi alisema kipindi chote cha ujauzito wake kuna waliodhani angejifungua kwa operesheni lakini Mungu amekuwa upande wake.“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kuniwezesha kujifungua salama kwa njia ya kawaida. Nafurahi kumpata mtoto huyu wa kiume na huu ni mwanzo wa maisha mapya,” alisema Zamaradi.Mtangazaji huyo amejifungua zikiwa zimebaki siku chache kwa wasanii wa filamu Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na Shamsa Ford nao wajifungue.

  Zamaradi ajifungua, amtangulia Shamsa, Thea - Global Publishers
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ulikua jela amavubi?
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  unataka salamu za Lulu? huyo dogo aliyekaliwa uchi mh!!!! leo nimefunguka niko Jumanne ya Pasaka
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  ahhhhhhhhh,sasa ndio nimekusoma...si ni kakidi kako nini? maana kule ni ukuta kwa ukuta tu!!
   
 5. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baba wa mtoto ni nani au ndo style mpya ya uzazi hapa Tz?
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Kama ni juzi kati then mtoto aitwe Sitivini
   
 7. Type

  Type JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  No ndoa, no mume but mtoto dili weng kama yeye hawatki kuolewa, kisa kubanwa. Madem wengine bana wanataka pepo wanaogopa kifo. It meas ndoa
   
 8. O

  Osama Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bongo ikiingia tabia ni wote wanaiga duh watu full kuzaa yaani kuna demu mmoja nilisomaga nae udsm akazaa na jamaa kampangishia sinza so juzi juzi wameachana demu karudi kwao na mzigo wa mtoto na hana ajira no kipato cha kumtunza kid, mwingine kazaa na jamaa alafu alikuwa hampendi so akiwa na mimba wakaachana so mtoto atakuwa bila malezi ya baba na mama na wengine kibao ndo imekuwa style bongo duh kazi ipo!
  Kwa style hii hata ukimwi hautaisha cz kavu kavu nyingi sana
   
 9. kansije

  kansije Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watu wanatembelea sana rimu, hawataki kutumia matiri kabisa duuu:ballchain:
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Sukari guru tamu sana..
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  But she is free to do it... to do.. to do... to do...
   
 12. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rugay Mutahaba ndie anaesemekana kua baba wa huyo kid

  SOURCE:Michuzi blog
   
 13. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ruge Mwana Kahaba ndiye baba wa kidi au Prince Seif-al Islam
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  Duh, kama ni kweli huyu jamaa atakuwa namfuatia Dr Remmy
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  yaani unapigwa chini unavimba juu
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  born to surveive die to balance the nature...then to die
   
 17. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  ...na ndio maana hawafiki mwezini???
   
 18. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,728
  Trophy Points: 280
  itakuwa ni kati ya nguvu za giza au Roho mtaka sifa
   
 19. d

  dav22 JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he he he...
   
Loading...