Siku hizi dawa nyingi wanatengeneza kibiashara hawataki watu wapone kabisa magonjwa kwa sababu wakipona kabisa na magonjwa kuisha viwanda vya madawa vitakufaZamani raha,unakunywa vidonge tuwili tutatu gono kwishaaa,mhh lakini leo ukiikanyaga unakunywa vidonge maisha yako yote na kifo juu..
Nimecheka sana mkuu, umewaza nini?Zamani raha,unakunywa vidonge tuwili tutatu gono kwishaaa,mhh lakini leo ukiikanyaga unakunywa vidonge maisha yako yote na kifo juu..
Na deception anasema hakuna UKIMWI.Siku hizi dawa nyingi wanatengeneza kibiashara hawataki watu wapone kabisa magonjwa kwa sababu wakipona kabisa na magonjwa kuisha viwanda vya madawa vitakufa
Kuna wanaume wanaolewa na wanawake pia, sasa kijana wa miaka 24 kuishi na mwanamke wa miaka 50 jamani si laana hiyo.Zamani wanaume walikuwa wanaoa wanawake, siku hizi wanaume wanaoa wanaume wenzao na wanawake wanaolewa na wanawake wenzao
Mkuu hiyo barua pepe mbona ni advance tech, tulikuwa tunaandika barua unasubiri majibu ndani ya wiki mbili tena hapo huyo uliemwandikia awe na nidhamu ya kujibu.Dah... Zamani kutumia baruapepe hadi uende mgahawani.... Siku hizi tunatembea na migahawa mifukoni[emoji13] [emoji13]
...
3. Zamani suruali zilivaliwa kwenye vitovu (mayenu) but siku hizi zinavaliwa chini ya makalio na boxa chafu kama tambara la kudekia choo cha walevi.
Hiyo inakubalika kwa jinsia zote, lakini sio kwa jinsia mojaKuna wanaume wanaolewa na wanawake pia, sasa kijana wa miaka 24 kuishi na mwanamke wa miaka 50 jamani si laana hiyo.
Kama hivyo sawa, kamata Lusekelo ndogoHapana mkuu, iyo ni sifa kubwa kwenu walevi.
Mapenzi hayaangalii umri dadaangu,kama wamependana wacha wapeane mautamu mujarrabKuna wanaume wanaolewa na wanawake pia, sasa kijana wa miaka 24 kuishi na mwanamke wa miaka 50 jamani si laana hiyo.