"Zama zimebadilika" Kauli tata ya Serikali

Ramark

JF-Expert Member
May 19, 2015
1,989
1,447
Zama zimebadilika. Ni kauli tata ambayo wizara ya afya inaitumia kuonyesha mabadiliko juu ya ugonjwa wa maleria, ni kauli inayotangazwa redioni na kwenywe televisions ikichagizwa na maigizo ya mambo ya kale ni kauli mbiu inayoanza bila elimu kwa umma
Kimsingi nakosa uelewa sahihi wa kauli licha kutoa maelekezo kwa watu kupima, na kutotumia dawa za malaria.
Licha ya hayo yote bado kuna malamiko ya kipimo cha mrdt dhidi ya malaria kwa kutoa majibu ya malaria kuanzia wadudu kumi na haiainishi idadi ya wadudu licha ya mazingira ya Tanzania kuboreka kuhusiana na kupambana na malaria ingawa wanatumia neti
Hoja hapa isiwe medically tu pia tiangalie utashi wa kauli yenyewe kwa watanzania, tuamini nini tuache kipi dhidi ya zama hizo.

Ji ni mahala tunapoweza ainisha jambo in details
Tukumbuke nyuma yake yupo Usaid
Tueleweshane
 
Back
Top Bottom