Zama za Lowasa zilisha pita sisi tunasonga mbele

Zama za Lowasa zilisha pita sisi tunasonga mbele

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,337
Nimekuwa nikifuwatilia mbwembwe nyingi naukusanyaji wa watu kuja kuangalia old is gold. Zama za mh Lowasa zimeshapita baada ya kukatwa pale dodoma na kama mnafikiria kwa kutumia kichwa basi utajuwa niwapi tunaenda, zama za rushwa, wizi na uhujumu uchumi red line ni huyu bwana maamuz magumu yataenda kuchukuliwa dhidi yamakuwadi wa uchumi wa taifa, kwakuwa sii kweli eti Lowasa nimtu mashuhuri sana kuliko Dr Magufuli, lahasha ila umwagaji wake wa pesa na misaada makanisani ndio siri ya watu kumuona yeye mtu na kwa bahati mbaya sana wa Tz tupo dhaifu na mtu anaye toa kitu kidogo. Ila nilazima sasa serikali ijivue gamba nakuanzisha nchi yenye maadili na misingi ya utawala bora, ccm na idara zake za usalama wa ndani zilijuwa nilazima Lowasa atahama, nilazima sii yeye tu na watu wengine wa karibu wachumia tumbo na walio wahi kupata pesa za huyu bwana watahama, kwakweli viongoz wa juu wa nchi wanamjuwa huyu bwana kuliko wa Tz, kwao lowasa yupo uchi ila wa Tz tunamuona amevaa nguo na nilazima ijulikane serikali haifanyi mambo yake kihuni kwa hiyo basi fujo za Lowasa zitakomeshwa mchana tena kweupe baada ya wataalam wa usalama kujiridhisha matendo yake maovu ni yakweli. Nina iman haki itatendeka na tutaheshimiana.
 
Msukule wa ccm! Kwenda zako, tangu uhuru hata umeme na huduma za afya zimewashinda, mmelaaniwa nyie
 
Mnachosha sana..sijui ni multiple id's..maana ur repeating the same shit again and again and is not working..kilaza polepole nae anaongea haya haya mnachosha..
 
Toka hapa
Umetumwa mafisadi maccm imetuacha tumekuwa wanyonge kwenye nchi yetu
Nchi yenye asali na maziwa mmeiuza kwa waarabu wanyama wetu mmewapa wachina
Wachina wamekuwa wenyeji kwenye nchi yetu kisa madhambi yenu mmeyafanya wenyewe huko china
Watanzania ndo wanaolipia adhabu tusikubali tusidanganyike mafisadi waondoke
Natukichukua nchi mtafute pa kwenda maana tutawafilisi wote
 
Endelea tu kulalamika na kujifariji tu, lakini kamwe hauwezi kuzuia mafuriko ya kisiasa yanayoletwa na Lowassa pamoja na UKAWA. Kwa sasa CCM kuanzia ngazi ya chini mpaka ya juu kabisa wamepanic vibaya sana.
Ushindi wa Lowassa mpaka sasa upo dhahiri kabisa, hakuna namna unaweza kuzuia ushindi huo kwa kuja hapa kulalamika tu.
 
Tatizo team lowasa watakuja na kejeli na matusi badala ya kujitafakari kwa kina.
 
Endelea tu kulalamika na kujifariji tu, lakini kamwe hauwezi kuzuia mafuriko ya kisiasa yanayoletwa na Lowassa pamoja na UKAWA. Kwa sasa CCM kuanzia ngazi ya chini mpaka ya juu kabisa wamepanic vibaya sana.
Ushindi wa Lowassa mpaka sasa upo dhahiri kabisa, hakuna namna unaweza kuzuia ushindi huo kwa kuja hapa kulalamika tu.

Mafuliko ya vichaa
 
Wewe jamaa hauko sawa...Hao wataalam wameshindwa kumdhibiti akiwa huko CCM leo anawalaza vibaya ndio mumshughulikie

Hivi unaelewa hata unachokisema,au umepewa tittle tu ukashindwa kucompose content?

Na nyie CCM hamfikirii kabisa..Wananchi wamependekeza. Katiba nzuri iliyo balanced nyie mmeichakachua mkaweka yenu inayopendelea upande wa watawala..Sasa what if UKAWA wakashika nchi na wakaongoza kwa kutumia katiba hiyo hiyo mbovu tutawafanya nini wale.Mnatuweka rehani wananchi mananga nyie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom