social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,261
hyo tapeli toka naija kama cm yako ina hang out app msearch utamcheck live bila chenga
Hii ni application gani mkuu?hyo tapeli toka naija kama cm yako ina hang out app msearch utamcheck live bila chenga
Utapeli wa kizamaaaaniiìi
Hahahhahaah watakuwa walitumia dictionaryM nilishawai kuwatia matusi mazito tena kwa kiswahili na hawakufanya tena huo ujinga kwenye email yangu



Maui wao ni Nigerian matapeli wakubwa.watch itWana Jamii Forums habari.
Ni hivi nilikuwa nachati na mama mmoja huko UK ila sijui e-mail yangu alipataje kikubwa mama alikuwa anataka tuwe marafiki tu na picha kibao kanitumia na huyo mama anajiita Dr.oliver michel.
Sasa kuna siku akaniambia nimekutumia zawadi kupitia kwa Rev sisi Mary maana yeye kaenda haiti kwa shughuli za kidini kwa hiyo akanipa mawasiliano na huyo mwenye zawadi yangu ambaye ndiyo huyo hapo chini copy and paste maelezo ya huyo aliyetumwa na zawadi.
Sasa wakuu mnishauri tafadhali nitume kiasi hicho cha pesa ili niweze kupata huo mzigo .
ohnson To me
Jan 14 at 2:23 PM
from Rev sis Mary Johnson
GOOD DAY.
MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU,HAPPY NEW YEAR
I'm Reverend ,Sister Mary Johnson,a friend to Dr.Oliver Michell from United Kingdom. Am here in Senegal for missionary work with (Hope Worldwide Aid support to Senegal with my groups, Sisters of Our Lady of Christian Doctrine.)
Sorry for my late response, we just arrived here in Senegal and i have been trying to set up our tents in other to start work immediately,the weather here is too hot and we have a lot of places to visit.
I have been able to make contact concerning the sending of the gift package which contain 2 Toshiba laptops computer, i-phones, AN ENVELOPE, Video Camera and some jewelries, with photos e.t.c, from your friend.
D.H.L Check the parcel and charge (98,Dollar ) which is about to dispatch it to your contact address in your country . D.H.L is much more effective and rapid.
The D.H.L will take 2-3 working days for the gift parcel to reach your home address. I will advice that you send the postage money through any money transfer agency such as western union money transfer or money gram and forward all the transfer information to me in my names .I will send your package immediately once the amount for D.H.L is received.
I want to tell you that this is my first time to visit Africa and i don't have any bank account to give you now, but i have make an inquiry with our driver here and he told me that the only way you can send money to me is through Western Union Money Transfer Or Money Gram
You can use the below information to transfer the posting fee
.
Receiver Name :Mary Johnson
Question:
Answer :
Address : 72B Yoff Tonghor
city : Dakar
Country : Senegal .
please try to send the money through Western Union Money Transfer with the above given information and send me the scan copy of the transfer slip. The D.H.L officials told me that there is no possibility of sending your gift package without the fee as such services is not available in this Country Senegal.
Please try and send me this money immediately so that i can send you the gift soon because we will be visiting some villages from next week. This money is the only thing that is holding me to post the package to you now. OR if you can come down to Senegal to pick it up, it will also be preferable. You can use the Above information to transfer the D.H.L fee.
please call me as soon as you send the money and also SCAN the transfer slip and send me a copy.
Thanks and remain blessed
Rev,Sis Mary Johnson .
: rev.sis.maryjohnson@hotmail.com
Phone: +221781498158
Reply, Reply All or Forward | More
Hata mimi mkuu miaka mitatu iliyopita nikatumiwa mpaka barua ya mwanasheria basi nikahangaika sana branchea za CRDB kutafuta swift codes....mwisho wa siku wanasema nitume hela ya kuidhinisha pesa iingie kwenye account nikaona wanazingua....ila kilikuwa kitita cha pesaHahaha... Nakumbuka 6 years ago nilitumiwa hadi barua kutoka Royal Bank of Scotland [RBS] kuthibitisha kua Kuna hela yangu.. Dah, watu wanajua kufoji asee
Duuh, mwaka jana nilinusurika hivyo hivyo, alikuja dem mmoja mwingereza anajifanya alishaolewa akaachika halafu kanielewa sana, akanambia anaenda Haiti kama volunteer doctor halafu aje bongo kuniona mimi nikawa namuitikia tu, kanitumia picha za watoto wawili kwamba ndo wake na mimi naendelea kumuitikia tu, baadae akanambia ana zawadi anataka kunitumia nikaendelea kumwitia tu, baadae akaja na e mail nyingine mara kuna rafiki yake anakuja senegal kwenye mambo ya dini so amempa akifika anitumie maana mzigo utakuwa umekaribia nikamwitikia tu,
akanitumia mpaka picha za parcels zenyewe nikamwitikia tu (nakumbuka alitaja vitu vyenyewe vilikuwa laptop 2 toshiba, digital camera, simu 2 I phone, jewellery, bahasha na picha zake nikaendelea kumwitikia) sasa aliye pewa mzigo akaanza kunichek kuwa kafika senegal hivyo nitume usd 100 kama gharama ili anitumie mzigo huku yule mwingine akuendelea kunisisitizia nimtumie huyu sister mapema ili mzigo uwahi kufika, hapo ndo ilikuwa mwisho wa kuendelea kumwitikia nikamjibu kuwa asubiri naenda bank kutuma na mpaka leo bado niko njiani sijafika banki, nadhani bado atakuwa anaendelea kusubiri,
Guys tuwe makini sana maana dunia ya sasa imejaa utapeli sana kila sehemu!!!