Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

Bongo hakuna provider anayetoa huduma ya kasi,naona mmejadili sana,Bongo kila kitu kimechakachuliwa na makampuni yanayotoa huduma za internet yanawadhulumu wateja.

Hapa Ulaya nipo na Moderm yangu speed ni 54Mbps(wireless) na 100Mbps(cable),kwa mwezi nalipa 25 Euros (50,000/-).Naangalia ligi kuu ya Uingereza online kupitia ATDHE.NET

CIAO

hao ATDHE.NET wamefungiwa na Homeland Security. Inaelekea hawana haki ya kuonesha hizo mechi
 
Back
Top Bottom