Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.
 
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.

TTCL Mobile wako ghali, Zain, VodaCom wako relatively fast na gharama sio kubwa! Tembelea mitandao yao:
www.vodacom.co.tz, www.tz.zain.com
Sijawahi kuona modem za Tigo ila Zantel nasikia nako wako fast and cheap. Sasatel sijawafahamu maana nasikia bado wako Dar labda na miji mingine.
 
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.

I would go for Zain or Zantel, ndiyo the best kwa sasa
 
zantel ni nzuri ila maelekezo yao ya mwanzo hayaeleweki, maana hadi imekubali kila mtu ananielekeza anavyojua yeye hivyo kujikuta napoteza 20,000 bila kukusudia
 
Naamini sasa una uzoefu wa kutosha kumpa shule bujibuji
zantel ni nzuri ila maelekezo yao ya mwanzo hayaeleweki, maana hadi imekubali kila mtu ananielekeza anavyojua yeye hivyo kujikuta napoteza 20,000 bila kukusudia
 
Tanzania huduma za Internet iko juu sana

jikakamue tumia mtandao wowote gharama ziko pale pale kwani hao zain na voda wamepunguza katika promotion tu muda si mrefu tunaanza kuumia.

labda kusubiri mkongo wa masawasiliano lakini kwa sasa hakuna cha voda,zain,ttcl na makorokoro mengine wizi mtupu
 
Mitandao mizuri ambayo iko fast kwangu ni sasatel na zantel kwa sababu wateja sio wengi, vodacom wana ile ofa yao ya cheka time inafanya wanakuwa na user wengi sana na zain pia wana wateja wengi. Tigo huwa natumia simu yangu nayo ina shida shida. TTCL nilishawahi kutumia ni very expensive
 
TTCL wanachakachua modems zao.

Toleo jipya la modem ni 'MCHINA'.

Kuwa makini. (Ila wako poa)
 
Sasatel ni very reliable but only in Dar; zain is good out of others, its fast and cheap!

Internet Bundles Services

To address issues around affordability and simplicity of our Broadband offers we have introduced the new value proposition in the market to respond to these two important customer insights.
Our Zain Pay As You Go is now only 150/= per MB.
PREPAID BUNDLES

BUNDLE
SUBSCRIPTION
FEE
VALIDITY
Daily Bundle (20MB)
SMS ‘datasiku’ to 15444
500/=
1 day
1 Day bundle (300MB)
SMS ‘dataplus’ to 15444
3,000/=
1 day
Weekly bundle (3GB)
SMS ’datawiki’ to 15444
15,000/=
7 days
Monthly bundle (8GB)
SMS ‘full data’ to 15444
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle (24GB)
SMS ‘data90’ to 15444
200,000/=
90 days
Yearly Bundle (96GB)
SMS ‘data365’ to 15444
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle(400 MB)
SMS ‘internet’ to 15444
2,500/=
30 days
To check your Bundle Balance simply SMS the word ‘SALIO’ or ‘BALANCE’ TO 15444

POSTPAID BUNDLES
For POSTPAID, you will have to contact Postpaid hotline (101) for details or you will have to send official, letter for your desired bundle activation request.
BUNDLE
FEE
VALIDITY
Weekly bundle( 3GB)
15,000/=
7 days
Monthly bundle( 8GB)
70,000/=
30 days
Quarterly Bundle( 24GB)
200,000/=
90 days
Yearly Bundle( 96GB)
750,000/=
365 days
Handset Browsing Bundle( 400 MB)
2,500/=
30 days

*All prices are VAT Inclusive
 
But not reliable
Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.
 
Back
Top Bottom