Shamba la Bibi linaendelea kuvunwa.Hii yote ni janja ya wakubwa wetu kuendeleza neema juu ya migongo ya Watanzania.Lakini ipo siku ukweli utajulikana kwani safari hii ilianza kwa kuiua TP & TC na hatimae TTCL,historia itatuambia ukweli tu.Habari imefika mkuu. Safari hii sijui itapewa jina gani au nembo gani maana wanajitahidi kubadili kila kinachowezekana kubadilishwa,wizi mtupu.