Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,754
- Thread starter
- #21
If this is the case!! then we are done
Vivi..Ishu hapa sio Tanzania pekee,Zain Tanzania inamilikiwa na kampuni mama ambayo ni Zain Africa iliyo chini ya Zain Group ya Kuwait,kilichotokea hapa ni kwamba Zain Group wameamua kuiuza Zain Africa(Zain Tanzania inaangukia humu) na kusitisha shughuli zake katika bara la Afrika,hivyo si Tanzania pekee itakayoathirika na uuzwaji huu wa Zain Africa,nchi nyingine ni Burkina Faso,Chad,Congo DRC,Congo Brazaville, Gabon, Ghana,Kenya,Madagascar,Malawi,Niger,Nigeria,Sierra Leone,Uganda,Zambia na Morocco.
Katika mchakato huu wa kutaka kuuza Zain Africa imetokea Bharti Airtel ya India ndo imenunua Zain Africa,hivyo Zain Tanzania itabadilika na kuitwa Airtel...Hope ujio wa Airtel utapelekea kupungua kwa gharama za mawasiliano ya simu za mkononi maana huko kwao wanakotoka(India) gharama za simu ni ndogo sana ukilinganisha na Tanzania...Tusubiri na tuone