GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

GE2025 Zaidi ya wanachama 3000 wa CCM Kilimanjaro wajitokeza kumdhamini Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Zaidi ya Wanachama 3000 wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Kilimanjaro wamejitokeza leo agosti 13 2025 kumdhamini mgombea Urais wa chama Dkt.Samia Suluhu Hasan ambae pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tukio hilo limefanyika katika ofisi za mkoa CCM Kilimanjaro likiongozwa na mkuu wa mkoa Nurdin Babu ambapo Wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii wamehudhuria

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mkuu wa mkoa amesema mahitaji ya kuwa mdhamani kwa ugombea Urais ni watu 250 lakini idadi iliyojitokeza Kilimanjaro ni mara 12 zaidi ya kiwango kinachohitajika

 
Hakuna uchaguzi ajitangaze tu atawale kimabavu
 
Back
Top Bottom