KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Taarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm.
Kweli magamba hawana chao mwaka huu!
Mkuu ungefanya jambo la mbolea sana kama angalao ungetupatia picha ya huo umati.
Mh. Shardcore, naomba uniruhusu nitumie maneno uliyoandika ili kudeliver general message, NINAWAOMBA WOTE chonde chonde,tusitumie lugha/misamiati ya "kidini" katika siasa - wewe na mimi tunafahamu kuwa wapo wengi wanaoituhumu(wrongly!!!) CHADEMA kuwa na ushirikiano wa karibu na dini fulani - there please please let's not provide them with a golden alibi. Ninaamini sitakuwa nimekuudhi maana si nia yangu na ninaamini pia utakuwa umeelewa ninamaanisha nini.
Serikali itakuwa inahaha sana maana huu moto hauzimiki!!Tena Jumatatu wakishindwa kufanya maamuzi magumu,basi watakuwa wameisafishia CDM njia!
naomba nipingane na wewe,Ni lazima Mungu atajwe popote,kwani yeye mwenyewe katika neno lake alisema,kila Aminie na kulitaja jina langu nitakuwa wake,unataka wamtaje shetani wakati hawamjui na kumtumikia.
Mungu ndiye kimbilio,mtetezi na kiongozi wetu anayetushindia na kutoa kibali cha kweli.
Watu walikuwa wanamtegemea shehe Yahaya angarishe nyota zao unafikiri ni rahisi.
We should stop saying that,kwamba Mungu hachanganishwi na Siasa.Kila mtu anaye Mwamini Mungu anayoruhusa ya kumtaja popote.
mbona mahudhui na habari yenyewe haviendani ? nilitegemea ungetuambia hao wana ccm elfu mbiliTaarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm.
Kweli magamba hawana chao mwaka huu!