Zaidi ya wana-CCM 2000 wahamia CHADEMA

Taarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm.
Kweli magamba hawana chao mwaka huu!

bora watupishe hao wafanyabiashara watuachie wakulima na wafanyakazi chama chetu kama zamani,maana walikivamia chama mpaka wenye chama tukawa hatuonekani,wao ndio wakawa mbele,kweli kila jambo lina mwisho,waende wana kwenda hao mamluki
 
Mh. Shardcore, naomba uniruhusu nitumie maneno uliyoandika ili kudeliver general message, NINAWAOMBA WOTE chonde chonde,tusitumie lugha/misamiati ya "kidini" katika siasa - wewe na mimi tunafahamu kuwa wapo wengi wanaoituhumu(wrongly!!!) CHADEMA kuwa na ushirikiano wa karibu na dini fulani - there please please let's not provide them with a golden alibi. Ninaamini sitakuwa nimekuudhi maana si nia yangu na ninaamini pia utakuwa umeelewa ninamaanisha nini.

naomba nipingane na wewe,Ni lazima Mungu atajwe popote,kwani yeye mwenyewe katika neno lake alisema,kila Aminie na kulitaja jina langu nitakuwa wake,unataka wamtaje shetani wakati hawamjui na kumtumikia.
Mungu ndiye kimbilio,mtetezi na kiongozi wetu anayetushindia na kutoa kibali cha kweli.
Watu walikuwa wanamtegemea shehe Yahaya angarishe nyota zao unafikiri ni rahisi.

We should stop saying that,kwamba Mungu hachanganishwi na Siasa.Kila mtu anaye Mwamini Mungu anayoruhusa ya kumtaja popote.
 
Serikali itakuwa inahaha sana maana huu moto hauzimiki!!Tena Jumatatu wakishindwa kufanya maamuzi magumu,basi watakuwa wameisafishia CDM njia!

Mkuu kwa hali ilivyosasa hivi, wafanye wasifanye still credits to CDM, yaani kwasasa Magamba wameshikwa pabaya asikwambie mtu, kama unabisha muulize Nnape Nnauye
 
naomba nipingane na wewe,Ni lazima Mungu atajwe popote,kwani yeye mwenyewe katika neno lake alisema,kila Aminie na kulitaja jina langu nitakuwa wake,unataka wamtaje shetani wakati hawamjui na kumtumikia.
Mungu ndiye kimbilio,mtetezi na kiongozi wetu anayetushindia na kutoa kibali cha kweli.
Watu walikuwa wanamtegemea shehe Yahaya angarishe nyota zao unafikiri ni rahisi.
We should stop saying that,kwamba Mungu hachanganishwi na Siasa.Kila mtu anaye Mwamini Mungu anayoruhusa ya kumtaja popote.

Salamu Dada Josephine,
Thanks for your response and of course for your time.
Nimeona katika majibu yako umeanza na "....yeye mwenyewe(MUNGU) katika neno lake alisema...." hayo maneno yapo katika kitabu unachoamini wewe,wengine wanaamini kitabu kingine na wapo wengine pia ambao hawaamini katika kitabu chochote LAKINI wote yaani wanaoamini na wasioamini katika MUNGU/MIUNGU wananafasi sawasawa katika CHADEMA. Nafikiri mpaka hapo tutakuwa tunakubaliana!!!
Hiyo hiyo dini unayoaamini wewe,kama sijakosea kutokana na jina lako inakufundisha "...Reddite quae sunt Caesaris Caesari et quae sunt Dei Deo
" translated should read "...give ceasar what is caesar's and god what is god's"

Sasa ninachosema tuweke pembeni mambo yanayotutenganisha (eg dini zetu,makabila yetu et cetera) na tu embrace yale yanayotuunganisha ambayo katika yote ni political emancipation of our Motherland. Let's stick on that which is not an easy task,is it????

Post scriptum

Only for curiosity nimepitia upya homepage ya JF na nimegundua kuwa kuna forum inayohusu DINI/IMANI na kilichonifurahisha zaidi ni kuwa at 0902 GMT only 3 people were viewing/visiting that forum where as JUKWAA LA SIASA was with 3732 visitors - does it tell you anything????

Taarifa ya habari ya ITV imeonyesha umati wa watu uliokuwa ukimsikiliza dr. Slaa na kuhamia cdm.
Kweli magamba hawana chao mwaka huu!
mbona mahudhui na habari yenyewe haviendani ? nilitegemea ungetuambia hao wana ccm elfu mbili
 
CHADEMA kama sumaku, na bado wengi watavutika na harakati zake za UKOMBOZI... Wote tu tune Chadema fm (leaders) na tuwe good listeners to Them...
 
Back
Top Bottom