simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Mazingira tatanishi ya kuundwa Muungano siku chache baada ya mapinduzi pamoja na kuvurugwa demokrasia Zanzibar kupitia vyombo vya muungano ni vielelezo tosha jinsi Tanganyika inaitawala Zanzibar kimabavu. Ukoloni as Tanganyika vidi ya Zanzibar haukubaliki tena. Zanzibar waachiwe wapumuwe.