COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,617
- 3,680
Kwamfano sasa Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37. Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44. Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48 Anamaliza kidato cha 6, wewe una miaka 50 Anajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa, wewe una miaka 51 Anamaliza Chuo kikuu 4years, wewe una miaka 55 Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka mzima, wewe una miaka 56 Hapo mtoto hajafeli wala kurudia Vidato. Huyo ndio first born wako hapo tumeasume umempata ukiwa na miaka 30. Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52. ZAENI MAPEMA ACHENI UBISHOO!!!!