Za uso 2019

Za uso 2019

Yaani kuulizwa jibu limetoka kitabu gani tu anataja Ufunuo wa Yohana kweli!

Kitabu cha ufunuo ndiyo analinganisha na upuuzi wa mitandaoni?

Si bora angesema hilo jibu amelitoa kwenye kitabu cha Juma na Uledi au Sadiki na Chitemo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jide muda mwingine anakua kajivuruga kweli.
 
IMG_20190107_133236.jpg
 
Back
Top Bottom