YASS acheni ubabaishaji

YASS acheni ubabaishaji

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
41
Reaction score
47
Nimefanya malipo ya kufungiwa fiber nyumbani kwangu tangu jmos kupitia Yass. Nikajulishwa kuwa itafungwa ndani ya saa 72 tangu nifanye malipo. Jana jioni ikiwa ndo siku ya 3 nikawatafuta wakasema inafungwa siku za kazi tu na jambo hilo linafanyika ndani ya siku 3 -5 za kazi. Nimewaambia warudhishe pesa zangu niweke mtandao mwngine mbona huwa wanafunga papo kwa papo. Nimekoma na kiherehere changu. Yass if you're reading this rudisheni pesa zangu sitaki tena huduma yenu.
 
Yani wamechukua Hela yako halafu wanasema tunafanya siku za kazi sasa Hela wamechukua ya nini?...ujinga huo na huo ni wizi.
 
Nimefanya malipo ya kufungiwa fiber nyumbani kwangu tangu jmos kupitia Yass. Nikajulishwa kuwa itafungwa ndani ya saa 72 tangu nifanye malipo. Jana jioni ikiwa ndo siku ya 3 nikawatafuta wakasema inafungwa siku za kazi tu na jambo hilo linafanyika ndani ya siku 3 -5 za kazi. Nimewaambia warudhishe pesa zangu niweke mtandao mwngine mbona huwa wanafunga papo kwa papo. Nimekoma na kiherehere changu. Yass if you're reading this rudisheni pesa zangu sitaki tena huduma yenu.
Heeeeeeh ila ni kweli yas ni wababaishaji sana
 
sio peke yako hawa jamaa niliwahama mwezi ulipoisha tu kufunga walikuja kwa kujivuta mnoo yani more than 7days na simu za kila mara nawasubiri washenzi
 
Nikukumbushe tu kua YASS ni mtandao wa ROSTAM AZIZ. Na auna cha kumfanya kabisa. Uyo ndio mwenye nchi hii.pole mtanganyika kwa kujitakia matatizo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Y
Nimefanya malipo ya kufungiwa fiber nyumbani kwangu tangu jmos kupitia Yass. Nikajulishwa kuwa itafungwa ndani ya saa 72 tangu nifanye malipo. Jana jioni ikiwa ndo siku ya 3 nikawatafuta wakasema inafungwa siku za kazi tu na jambo hilo linafanyika ndani ya siku 3 -5 za kazi. Nimewaambia warudhishe pesa zangu niweke mtandao mwngine mbona huwa wanafunga papo kwa papo. Nimekoma na kiherehere changu. Yass if you're reading this rudisheni pesa zangu sitaki tena huduma yenu.
Yass hata ukipiga *148*00# ni lazima ufanye mara mbili vinginevyo hela inageuzwa vocha ya kawaida ....
 
Back
Top Bottom