Hizi kweli za uso live
Mmhhh!
hahaha asee Numby unatoaga wapi hizi mambo za kuvunja mbavu
Yaani kuulizwa jibu limetoka kitabu gani tu anataja Ufunuo wa Yohana kweli!![]()
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani kuulizwa jibu limetoka kitabu gani tu anataja Ufunuo wa Yohana kweli!
Kitabu cha ufunuo ndiyo analinganisha na upuuzi wa mitandaoni?
Si bora angesema hilo jibu amelitoa kwenye kitabu cha Juma na Uledi au Sadiki na Chitemo.
Sent using Jamii Forums mobile app