utafiti I bet Honey Faith is serious
Serious Honey Faith?
Kweli tena hapa nilipo najiuliza imekuaje au ndo duniani wawili wawili?......lol
Dah...kushangaa shingapi? Au bure?
Wewe shangaa tu maana nimepewa bure kwanini nianze kufanya biashara wakati mie udongo tu......lol
Watu wa sampuli yako nawapenda sana
Kweli tena hapa nilipo najiuliza imekuaje au ndo duniani wawili wawili?......lol
weka na ww wakwako tukompee na kukontrasti