Huyo jamaa walichomfanyia duh, kina sudi brown wana cha kujifunza hapo!PAPARAZI MOJA LA KI SAUDIA LILILOVUJISHA MIPANGO YA WAKUBWA AKAISHIA KUCHAMBULIWA KAMA NG'OMBE BUCHANI.
Mkuu naomba hizo videoLeo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Ni pm ya kubabwa mkuuHiyo ya kubanikwa jamani...wameiva vizuri sana
Hiyo ya kubakwa mbona mwanamke haoneshi msisimuko au uke wake una ganzi?
Na hiyo ya Jamali mbona kama sio yeye?
Ila inatisha sana jamani...so sad
Mkuu bora ungetubania tu hii picha,pamoja na kuiomba ungetubania tu. Imeharibu ksbisa siku yangu leo. Sinywi pombe,lakini sijui nikapige nyagi. Hali mbayaaaa. Sifai kuwa souger. Tumbo lote limevurugika. I see duniani kuna unyama unaendelea wa hatari. Wengine kama hawatakufa mileleIla sio yeyeView attachment 943979
Naweza kuwa na tatizo kubwa sana... Eti mimi imenipa mzuka... Nadhani mochwari kumeniathiriMkuu bora ungetubania tu hii picha,pamoja na kuiomba ungetubania tu. Imeharibu ksbisa siku yangu leo. Sinywi pombe,lakini sijui nikapige nyagi. Hali mbayaaaa. Sifai kuwa souger. Tumbo lote limevurugika. I see duniani kuna unyama unaendelea wa hatari. Wengine kama hawatakufa milele
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo mabaya sana.
Ndugu zetu waafrika kutoka taifa la Nigeria wanasifika kwa wizi hasa wa kutapeli na wizi wa mitandaoni (fraudsters) na wamewaumiza wengi sana.
Sasa hivi karibuni vijana wawili shababi toka taifa hilo wakamlenga Mmexico mmoja wakampiga USD 400,000 tasilimu kwa njia ya mtandao.
Mmexico baada ya kugundua kapigwa, hakupaniki bali akajifanya bado hajagundua kupigwa... Hivyo akawasiliana na wezi wake na kuwaomba kiasi kilichobaki 1.2million USD awape cash... Jamaa wakaingia mkenge wakakubali.. Mmexico yule akawatumia na ticket za ndege kwenda Mexico kuvuna mamilioni ya dola za bure.
Heri wangejua wanaenda kukutana nanini kamwe wasingethubutu kunyanyua hata unyayo... Ile kutua tu Mexico, mwenyeji wao akawapokea na kuwapeleka eneo salama la kukabidhiwa mapesa... Lakini kwa mstuko mkubwa wakakumbana na watu wasio na roho.
Walikamatwa wakavuliwa nguo zote wakafungwa kamba mikononi na miguuni kisha wakabanikwa wakiwa hai mpaka wakaiva.
Tahadhari ya picha kwa wale wenye roho nyepesi.
View attachment 943512View attachment 943513View attachment 943514View attachment 943515
Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Umeshapiga USD 400,000 bado huridhiki?!!!!!
[emoji23]Huyo kashogy ni nani mkuu mbona ame trend sana humu!
Za mwizi ni 40Hiyo ndio dawa yao, ushavuta $400,000, unawekewa mtego wa kifala ivo unaingia kichwa kichwa. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
NNimekutumia PM
Kashoggy.....mwenye roho nyepesi usitizameView attachment 943728
Nakutumia waitEbwana mtaalamu nime ku PM unitumie,naona kimya.
Njoo mwayaNi pm ya kubabwa mkuu
Dhumuni lao sio kukata kichwa tu bali kuua kwa mateso ili kujenga hofu kwa watazamaji wengine....hii ni mbinu inayotumiwa na watawala wa kiimla kuogofya jamii zaoHii clip mbona miyeyusho,huyo jamaa mbona anaonekana ameshauliwa tayari ila wanacho fanya wao ni kumkata tu kichwa.
Sisi kule kwetu mtu unapigwa pigo moja tu la upanga kadhia inakuwa imeisha,na ndivyo ilivyo sanaa ya uchinjaji,yaani ukichinja kinjwa unatakiwa kisipatw shida katika kukata roho,yaani hata kama kikipiga yowe liwe yowe moja tu habari imeisha.
Mkuu umetiririka vema sana. Hapo wengi wangenasa....Hahahaaa hao wanigeria walishawahi kutengeneza mpango wa kunipiga kama tsh1.5m mwaka 2010.......pona yangu ilikua ni kwamba nilikua na hela pungufu....ilipelea kama laki nne hivi kukamilika tsh1.5m , sasa nilipoenda kwa washkaji kuwaazima ile kuwapa na story jinsi mwenzao ninaenda kuwa milionea baada ya week chache.....ndo jamaa kunifungua ubongo aisee.
Inshu ni kwamba walinitumia msg via email kwamba simu yangu ya tecno p5 imekua moja ya simu zilizo kwnye matumizi ambazo zimejishindia USD 500,000... na droo ilifanyika huko kwenye one of the main company of Tecno manufuctures,,,, na email yao ilionesha hvo na hata nilipo search mtandaoni niliona hicho kitu na ni kweli droo hyo ilifanyika na ni kweli watu kibao walishinda kwnye droo hyo ingawa nilipocheki, wengi waliishia USD 40000,
Sasa kuja kucheck mim nimeshinda USD 500,000 afu sipo kwnye list pale,,,, nikawacheck jamaa,, wakanambia wajaniexpose for security purpose mana nimeshinda hela nyingi sana ingekua rahisi hata kuvamiwa na kutekwa.......Nikaamini.
Basi yakafata mainshu ya kuwatumia vitambulisho, Status zangu zote,,, kuanzia full name, address, mpka nationality na vitu vingine vingi.
Yani kwa kifupi ilikua ni busy week kwangu kwa kuhakikisha naupokea utajiri wangu kisawasawa kwa tabasamu na bashasha....
Jamaa wakanicontact kwamba wanakuja kunihand over huo mkwanja personally kupitia arusha wakiongazana na waandishi wao wa habari...
Nikajisemea ((Huu ndo wakat wa kuwanyoosha mademu walionitosa kudadeki)))
Kweli baada ya week nikashangaa napokea simu namba ngeni,,,,,ile kupokea tu nakutana na lafudhi ya kibritish kabisa aisee basi nikaulizwa pale nikajitambulisha...wakathibitisha kuwa ni mimi,,,
KIMBEMBE,,, Wakanambia wamekwamba pale airport Arusha kwa madai kuwa wameambiwa hawawezi kuvuka kuingia tanzania wakiwa na hundi kubwa ya fedha zote zile za kigeni pasipo ulipaji wa kodi kabisa....sasa kodi walitakiwa kulipa ni Tsh 1.5 mil.
Nikashangaa et wananicontact mim ndo niilipe hiyo hela wakati hapo bado wana mamillion yangu.....tena wananambie niharakishe kuwarushia kwa namba flan walionipatia ilikua ya tigo. Wakanambia yakizidi masaa 24 wanarudi zao sweden na kurudisha ushindi wa fedha zangu huko HONG KONG. Nilichanganyikiwa aisee kuona utajiri nlouwaza zaidi ya week mbili na kutengeneza bajeti kabisa ya matumizi unataka kuniponyoka kirahisi kiasi hiki.
Nikaenda ATM mashine nikadroo hela yote Tsh 1.1m nakuunga moja kwa moja mpka kwa rafiki yangu mmoja hivi aniongezee.....huko nikawakuta washkaji wengine watatu.....daaah nikaongea na jamaa na kumpa full story.....jamaa kabla hajanijibu shida yangu akawaambie wenzie. "" Oya hebu msikilizeni huyu"" na kuniamuru mimi "" haya wasimulie na hawa""
Basi nikawasimulia washkaji huku nikiongea haraka mana naona wananichelewesha.......looooll.....kilichofata hapo mmmmmhhh.....jamaa mpka leo huwa wananicheka.........
TULIPOWAFATILIA VIZURI TULIGUNDUA NI WANIGERIA.....SHENZI TYPE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuhHahahaaa hao wanigeria walishawahi kutengeneza mpango wa kunipiga kama tsh1.5m mwaka 2010.......pona yangu ilikua ni kwamba nilikua na hela pungufu....ilipelea kama laki nne hivi kukamilika tsh1.5m , sasa nilipoenda kwa washkaji kuwaazima ile kuwapa na story jinsi mwenzao ninaenda kuwa milionea baada ya week chache.....ndo jamaa kunifungua ubongo aisee.