Za mkwezi mbili.... Waswahili walisema

Za mkwezi mbili.... Waswahili walisema

Hapa ndipo huwa naona JF ipo kibaguzi kabisaa.
Hilo jukwaa la wakubwa ambalo mm sipaswi kuwepo ni lipi?
30 yrs lakini bado kuna majukwaa mnazingua et!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
tupia hiyo ya huyo mchawi mkuu
 
Wazee mwenye hio ya kashogi naiomba PM, nimeitafta sana online mpk youtube haipo, Halaf hilo jukwaa la wakubwa linapatikana wapi? Member wake ni hawa hawa binadamu wenzetu tulionaohumu au n akina polepole? Humu nshaona tunanyanyapaana, kwaio sisi wengne ni watoto?, Mtu mzima una mpk ndevu za kucha halaf unaambiwa kuna jukwaa la wakubwa na wewe humo?, ila sema nini wazee.....naombeni video ya kashogi wazee, hio ya mtungo sitaki
 
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo mabaya sana....

Ndugu zetu waafrika kutoka taifa la Nigeria wanasifika kwa wizi hasa wa kutapeli na wizi wa mitandaoni (fraudsters) na wamewaumiza wengi sana
Sasa hivi karibuni vijana wawili shababi toka taifa hilo wakamlenga Mmexico mmoja wakampiga USD 400,000 tasilimu kwa njia ya mtandao
Mmexico baada ya kugundua kapigwa, hakupaniki bali akajifanya bado hajagundua kupigwa... Hivyo akawasiliana na wezi wake na kuwaomba kiasi kilichobaki 1.2million USD awape cash... Jamaa wakaingia mkenge wakakubali.. Mmexico yule akawatumia na ticket za ndege kwenda Mexico kuvuna mamilioni ya dola za bure
Heri wangejua wanaenda kukutana nanini kamwe wasingethubutu kunyanyua hata unyayo... Ile kutua tu Mexico, mwenyeji wao akawapokea na kuwapeleka eneo salama la kukabidhiwa mapesa... Lakini kwa mstuko mkubwa wakakumbana na watu wasio na roho..
Walikamatwa wakavuliwa nguo zote wakafungwa kamba mikononi na miguuni kisha wakabanikwa wakiwa hai mpaka wakaiva..
Tahadhari ya picha kwa wale wenye roho nyepesiView attachment 943512View attachment 943513View attachment 943514View attachment 943515
Nina hasira iliyopitiliza na wezi.Hawa jamaa sina hamu nao kabisa Wanigeria. Acha tu wabanikwe. Huyu mbanikaji ilitakiwa awabanike kidogo halafu kabla hawajafa lazima waliomba msamaha sana na kuahidi kurudisha hizo hela zingine. Angewachia kwanza mpaka zitumwe zile kutoka huko nigeria,baada ya hapo wangewamalizia. Wameniumiza dubai hawa wasen.... Mjomba wao mmoja alifungua duka dubai la jumla la oil. Katika manunuzi yangu nikaingia katika duka lake,ni kweli oil alikuwa anauza chini kidogo kuliko maduka tuliyopitia mwanzo. Nikaingia king,nikalipia caton nyingi hapo. Nashukuru caton kadhaa kweli alinipelekea cargo. Caton 50 mpaka leo. Nimefuatilia kumbe siku zile nimeenda mimi ndio zilikuwa siku zake za kusepa. Tayari alikuwa amekusanya hela za watu wengi. Za kwangu ndio zilikuwa kidogo kama milioni 1,300,000. Mwaka jana tu mwezi wa 12. Acha wauawe saaaana
 
Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Mkuu hebu nirushie hizo ndude tafadhali
 
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo mabaya sana....

Ndugu zetu waafrika kutoka taifa la Nigeria wanasifika kwa wizi hasa wa kutapeli na wizi wa mitandaoni (fraudsters) na wamewaumiza wengi sana
Sasa hivi karibuni vijana wawili shababi toka taifa hilo wakamlenga Mmexico mmoja wakampiga USD 400,000 tasilimu kwa njia ya mtandao
Mmexico baada ya kugundua kapigwa, hakupaniki bali akajifanya bado hajagundua kupigwa... Hivyo akawasiliana na wezi wake na kuwaomba kiasi kilichobaki 1.2million USD awape cash... Jamaa wakaingia mkenge wakakubali.. Mmexico yule akawatumia na ticket za ndege kwenda Mexico kuvuna mamilioni ya dola za bure
Heri wangejua wanaenda kukutana nanini kamwe wasingethubutu kunyanyua hata unyayo... Ile kutua tu Mexico, mwenyeji wao akawapokea na kuwapeleka eneo salama la kukabidhiwa mapesa... Lakini kwa mstuko mkubwa wakakumbana na watu wasio na roho..
Walikamatwa wakavuliwa nguo zote wakafungwa kamba mikononi na miguuni kisha wakabanikwa wakiwa hai mpaka wakaiva..
Tahadhari ya picha kwa wale wenye roho nyepesiView attachment 943512View attachment 943513View attachment 943514View attachment 943515

walikosea sana njia, na walionesha zarau kubwa sana tena kwa mmexicana..? hadi mnamfungia safari mkamtapeli na kwao
 
Duuh sasa hapo hela zake zilirudi?
Naona jamaa hakutaka tena kufuatilia habari za hela tena,alichoongalia yeye ni kuwaonyesha kwamba yeye hachezewi. Hiyo tu ni fundisho kwa wengine,amewasaidia hata wenzio waliokuwa kwenye line za kuibiwa na wengine,ksbb angalau sasa wata-mute. Isitoshe wa-mexico wengi ni wauza ngada kwa hiyo hela kwao si kitu,watatengeneza zingine
 
Back
Top Bottom