Za mkwezi mbili.... Waswahili walisema

Za mkwezi mbili.... Waswahili walisema

Hamtaungwa jukwaa la wakubwa lenye mambo ya kikumbwa ad mtu vyeti mkiambatanisha na barua serikal za mitaan
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahaaa hao wanigeria walishawahi kutengeneza mpango wa kunipiga kama tsh1.5m mwaka 2010.......pona yangu ilikua ni kwamba nilikua na hela pungufu....ilipelea kama laki nne hivi kukamilika tsh1.5m , sasa nilipoenda kwa washkaji kuwaazima ile kuwapa na story jinsi mwenzao ninaenda kuwa milionea baada ya week chache.....ndo jamaa kunifungua ubongo aisee.

Inshu ni kwamba walinitumia msg via email kwamba simu yangu ya tecno p5 imekua moja ya simu zilizo kwnye matumizi ambazo zimejishindia USD 500,000... na droo ilifanyika huko kwenye one of the main company of Tecno manufuctures,,,, na email yao ilionesha hvo na hata nilipo search mtandaoni niliona hicho kitu na ni kweli droo hyo ilifanyika na ni kweli watu kibao walishinda kwnye droo hyo ingawa nilipocheki, wengi waliishia USD 40000,

Sasa kuja kucheck mim nimeshinda USD 500,000 afu sipo kwnye list pale,,,, nikawacheck jamaa,, wakanambia wajaniexpose for security purpose mana nimeshinda hela nyingi sana ingekua rahisi hata kuvamiwa na kutekwa.......Nikaamini.

Basi yakafata mainshu ya kuwatumia vitambulisho, Status zangu zote,,, kuanzia full name, address, mpka nationality na vitu vingine vingi.

Yani kwa kifupi ilikua ni busy week kwangu kwa kuhakikisha naupokea utajiri wangu kisawasawa kwa tabasamu na bashasha....

Jamaa wakanicontact kwamba wanakuja kunihand over huo mkwanja personally kupitia arusha wakiongazana na waandishi wao wa habari...
Nikajisemea ((Huu ndo wakat wa kuwanyoosha mademu walionitosa kudadeki)))

Kweli baada ya week nikashangaa napokea simu namba ngeni,,,,,ile kupokea tu nakutana na lafudhi ya kibritish kabisa aisee basi nikaulizwa pale nikajitambulisha...wakathibitisha kuwa ni mimi,,,

KIMBEMBE,,, Wakanambia wamekwamba pale airport Arusha kwa madai kuwa wameambiwa hawawezi kuvuka kuingia tanzania wakiwa na hundi kubwa ya fedha zote zile za kigeni pasipo ulipaji wa kodi kabisa....sasa kodi walitakiwa kulipa ni Tsh 1.5 mil.

Nikashangaa et wananicontact mim ndo niilipe hiyo hela wakati hapo bado wana mamillion yangu.....tena wananambie niharakishe kuwarushia kwa namba flan walionipatia ilikua ya tigo. Wakanambia yakizidi masaa 24 wanarudi zao sweden na kurudisha ushindi wa fedha zangu huko HONG KONG. Nilichanganyikiwa aisee kuona utajiri nlouwaza zaidi ya week mbili na kutengeneza bajeti kabisa ya matumizi unataka kuniponyoka kirahisi kiasi hiki.

Nikaenda ATM mashine nikadroo hela yote Tsh 1.1m nakuunga moja kwa moja mpka kwa rafiki yangu mmoja hivi aniongezee.....huko nikawakuta washkaji wengine watatu.....daaah nikaongea na jamaa na kumpa full story.....jamaa kabla hajanijibu shida yangu akawaambie wenzie. "" Oya hebu msikilizeni huyu"" na kuniamuru mimi "" haya wasimulie na hawa""

Basi nikawasimulia washkaji huku nikiongea haraka mana naona wananichelewesha.......looooll.....kilichofata hapo mmmmmhhh.....jamaa mpka leo huwa wananicheka.........

TULIPOWAFATILIA VIZURI TULIGUNDUA NI WANIGERIA.....SHENZI TYPE
 
Halafu unajua kuelezea stori hadi mtu anapata full picture ya mambo yaliyotokea utadhani alikuwepo na aliyaona kwa macho! Nimecheka sana

Halafu hiyo lafudhi ya ki-british, kwani walikuwa waingereza? Ukiona mtu anaongea lafudhi ya kiingereza kama native english speaker wakati hatoki aidha Uingereza, Marekani, Australia au Canada, weka moja kichwani kwanza papo kwa papo, japo uwezekano huo pia upo kwa baadhi ya watu wasiotoka mataifa hayo. Issue hapa ni kwamba Tecno haikuwa na uhusiano na mataifa hayo, so it was a bit strange kwa mtu kuongea lafudhi ya ki-british!
fa hayo
 
Kuna mwenzetu mmoja Bongo hapa naye kwenye hiyo michezo yao akina nanihii na nanihii aliingia kwenye line za wachina wa Hongkong nao baada ya kupigwa wakawa wadogo wakampa mualiko jamaa akatua Hongkong walichomfanya wao walimhanithi tu awe hanithi mambo yaishe tuone kama atafurahia hizo hela, dah jamaa mpaka leo haisimami halafu mke chuma kweli,, huyu jamaa maarufu sana mjini na kundi lake ni wale akina "mtoto wa -----"
 
Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Ile ya Khashoggi imesababisha leo sijaenda job bado nimelala.
 
Mtaje tu

Mimi nilimaliza kila kitu kasoro pesa Sasa wakawa wananisumbua nitume pesa la sivyo watanishitaki, wakanipigia simu sikupokea walitumia namba ya South Africa Majina ya huko huko mmoja anajiita Khumalo nikampigia kuongea naye lafdhi ya Nigeria nikacheka tu nikakata simu nikampa email ya wakili wangu nikamwambia katika pesa yangu akate kidogo alipe revenue inayobaki wanitumie kupitia wakili wangu ndani ya siku saba wasipotuma nawachukulia hatua, ikawa mwisho nikiwapigia hawapokei nikiwatumia email hawajibu nikawaambia Mimi ni m TZ siibiwi hovyo.
 
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo mabaya sana.

Ndugu zetu waafrika kutoka taifa la Nigeria wanasifika kwa wizi hasa wa kutapeli na wizi wa mitandaoni (fraudsters) na wamewaumiza wengi sana.

Sasa hivi karibuni vijana wawili shababi toka taifa hilo wakamlenga Mmexico mmoja wakampiga USD 400,000 tasilimu kwa njia ya mtandao.

Mmexico baada ya kugundua kapigwa, hakupaniki bali akajifanya bado hajagundua kupigwa... Hivyo akawasiliana na wezi wake na kuwaomba kiasi kilichobaki 1.2million USD awape cash... Jamaa wakaingia mkenge wakakubali.. Mmexico yule akawatumia na ticket za ndege kwenda Mexico kuvuna mamilioni ya dola za bure.

Heri wangejua wanaenda kukutana nanini kamwe wasingethubutu kunyanyua hata unyayo... Ile kutua tu Mexico, mwenyeji wao akawapokea na kuwapeleka eneo salama la kukabidhiwa mapesa... Lakini kwa mstuko mkubwa wakakumbana na watu wasio na roho.

Walikamatwa wakavuliwa nguo zote wakafungwa kamba mikononi na miguuni kisha wakabanikwa wakiwa hai mpaka wakaiva.
Tahadhari ya picha kwa wale wenye roho nyepesi.

View attachment 943512View attachment 943513View attachment 943514View attachment 943515

Mkuu, hii video kwangu haifunguki ....
 
Halafu unajua kuelezea stori hadi mtu anapata full picture ya mambo yaliyotokea utadhani alikuwepo na aliyaona kwa macho! Nimecheka sana

Halafu hiyo lafudhi ya ki-british, kwani walikuwa waingereza? Ukiona mtu anaongea lafudhi ya kiingereza kama native english speaker wakati hatoki aidha Uingereza, Marekani, Australia au Canada, weka moja kichwani kwanza papo kwa papo, japo uwezekano huo pia upo kwa baadhi ya watu wasiotoka mataifa hayo. Issue hapa ni kwamba Tecno haikuwa na uhusiano na mataifa hayo, so it was a bit strange kwa mtu kuongea lafudhi ya ki-british!
fa hayo
Hahahahaa ahsante sana mkuu.....jamaa walikua wameshanipiga hela wale.....nikama walinipumbaza hivi........rafiki zangu wakaniokoa
 
Mimi nilimaliza kila kitu kasoro pesa Sasa wakawa wananisumbua nitume pesa la sivyo watanishitaki, wakanipigia simu sikupokea walitumia namba ya South Africa Majina ya huko huko mmoja anajiita Khumalo nikampigia kuongea naye lafdhi ya Nigeria nikacheka tu nikakata simu nikampa email ya wakili wangu nikamwambia katika pesa yangu akate kidogo alipe revenue inayobaki wanitumie kupitia wakili wangu ndani ya siku saba wasipotuma nawachukulia hatua, ikawa mwisho nikiwapigia hawapokei nikiwatumia email hawajibu nikawaambia Mimi ni m TZ siibiwi hovyo.
Hahahahaa afadhar wew hata walikuongelea kwa rafudhi ya nigeria mkuu......mimi walinigongea yai lile lenyewe yani la kwa malkia.......
 
Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Mkuu, unaweza kunitumia hizo videos?Ahsante.
 
Kuna mwenzetu mmoja Bongo hapa naye kwenye hiyo michezo yao akina nanihii na nanihii aliingia kwenye line za wachina wa Hongkong nao baada ya kupigwa wakawa wadogo wakampa mualiko jamaa akatua Hongkong walichomfanya wao walimhanithi tu awe hanithi mambo yaishe tuone kama atafurahia hizo hela, dah jamaa mpaka leo haisimami halafu mke chuma kweli,, huyu jamaa maarufu sana mjini na kundi lake ni wale akina "mtoto wa -----"
Wa ng'ooombe
 
Back
Top Bottom