Gazeti moja la kiingereza wkt linaripoti kesi ya ndama mtoto wa ng'ombe likiandika eti"the son of cow" hahah hapo ndipo nilielewa maana ya elimu bure.Calf... [emoji23]
Hebu zitupieNa mimi nimeiona hiyo mkuu
Kwahiyo nyie hampigi mwizi mpaka kufa.. Watu kuwa na roho mbaya haihuisiani na dini ya mtuHuko south america watu wameweka dini mbele sana,ila kwao dini sio lolote kwaroho mbaya waliokua nayo nliona clip mtu anachinjwa kwa msumeno wa umeme yani chainsaw
Wa ng'ooombe
Kwahiyo nyie hampigi mwizi mpaka kufa.. Watu kuwa na roho mbaya haihuisiani na dini ya mtu
Hiyo ya Khashoggi sijaiona lkn mna uhakika ni ya tukio la kweli? Siku hizi kuna watu wengi wanatumia fursa za matukio kutengeneza video za uongo. Ila sijaiona hivyo hii ni hisia tu...Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Ni PM na mimi mkuu hizo videos.Leo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Haa haa haa.Gazeti moja la kiingereza wkt linaripoti kesi ya ndama mtoto wa ng'ombe likiandika eti"the son of cow" hahah hapo ndipo nilielewa maana ya elimu bure.
Unitupie na mimi kwa prime minister tafadhaliNimekupm
Ukiskia kuingia choo cha sempai ndio hiyo sasa! Hao wa IGBO wamefanywa hakuna yani unapigwa kama kuku choma!Wao c wanajikuta wazee wa mitandao,
Na hao wamexicana hawataishia hapo lazima wausike mezan katka kukamilisha mlo
Na Mimi naomba hizo video plz au tupeni linkNaziomba hizo video pls
Mkuu Nitumie na Mimi pmLeo nimeona video nyingi za hatari ikiwemo hii.
Hii moja kuna mchawi wa kike kashikwa na masela anawanga asee wamempiga kitombo ya hatari.nyingine leo imenirusha na kuaribu hii siku ya wk end ni video ya kashogi kule turkey anavyokula shoka ya shingo.very disturbed videos
Hiyo ya Khashoggi ni fake moja kwa moja. Hakuuliwa kwenye mazingira ya namna hii. Hata namna walivyouharibu mwili wake siyo namna hii.Imegoma
Ku pm mtu ndio nini? Hebu nifundishe na ikibudi ni pm na mimiNi pm na mm mkuuu na mm ntakupa nyingine
Huyo aliyechomwa hio sindano ni rafiki pia wakina papaa muzamili.Huyo ni mmoja wa marafiki sana, ila jamaa hilo ndio kundi lake au watu wake kwenye mitikasi..
Huyo aliyechomwa hio sindano ni rafiki pia wakina papaa muzamili.
Nadhani tumeelewana mkuu,teh tehhahahahhahaaha...