Za Lameck zinahesabika?

Mkuu tayari ushaleta news, watu mko vizuri kwenye kuleta threads.

Habari za kuokoteza tu tayari unatoka alert kwamba mtu siku zake zinahesabika kama vile umefanya research ya kutosha vile kumbe ni video mbili tatu na hearsay za mtaani tu .
Nahusika kwa asilimia 100 na maandishi yangu.. Sihusiki hata kwa asilimia moja na tafsiri zako.. Sawa mkuu!
 
Mshana Jr unataka kuniambia ile video ni yeye kweli? Sio Ai?.. if so kama ni yeye basi huyo changudoa atakuwa ni mtu wa system au yupo kwenye payroll yao ili kumchafua asee
Tuseme ni AI, kwanini watengeneze AI ya kwake na si ya mwingine? Na kwanini kipundi hiki anaposemwa semwa sana?

Inaweza kuwa ni AI lakini maana ikabaki pale pale ya wake up call
 
Mnyiramba wa watu alikuwa ameshiba nyama ya punda akashushia mtukuru tu ndiyo akawa amechoka na kuamua "kujipunzisha"!Mumuache guys!😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…