Imagine changudoa anakuwa na audacity ya kutuma video kwa mbunge. Sio changudoa wa kawaida.Mshana Jr unataka kuniambia ile video ni yeye kweli? Sio Ai?.. if so kama ni yeye basi huyo changudoa atakuwa ni mtu wa system au yupo kwenye payroll yao ili kumchafua asee
Hivi ni vita vya panziMkuu hayo CCM acha yafarakane tu hakuna namna
PM iko wazi nirushie nisikilize mikoromo 😂Mkoromo wa namna hiyo huchangiwa zaidi na konyagi mixer beer .
Ila hawa viongozi ndio maana maendeleo hatuoni!!!!
Sheria ya kukojoa ni kojoa maliza kaoge sasa pm hata kuoga hakwenda jamaaani.
Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?Mshana Jr unataka kuniambia ile video ni yeye kweli? Sio Ai?.. if so kama ni yeye basi huyo changudoa atakuwa ni mtu wa system au yupo kwenye payroll yao ili kumchafua asee
Unamaanisha kama ya Engong sio!Halafu Haya mafisadi mengi hayana mazoezi
Umri nao shida na akikutana na miuno feni Pm lazima achanganyikiwe mnoMkoromo wa namna hiyo huchangiwa zaidi na konyagi mixer beer .
Ila hawa viongozi ndio maana maendeleo hatuoni!!!!
Sheria ya kukojoa ni kojoa maliza kaoge sasa pm hata kuoga hakwenda jamaaani.
Warning and wakeup call that we are still on your back❗Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?
Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
😂😂😂Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?
Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.
🤫Warning and wakeup call that we are still on your back❗
Ameanza kutisha watu tena? Oooh kumekucha, muhimu sisi tushazinyaka watajua wao.
mganga mkuu kwa kuwakusanya na kuwapiga kamba wafuata mkumbo, hujambo mpiga ramli wewe dahHapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗
Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗
Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗
Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga
Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗
Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗
Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
View attachment 3682549
Yeah .. wa mulemule bungeni... Hapo nimekuelewa. Sema hiyo vita ya madaraka 2030 sijui itakuwaje kama Hali ndio hii.Sasa wewe unaona hiyo ni AI mkuu ? Lakini unahisi ni raia wa kawaida anaweza kufanya huo ujinga kwa kiongozi wa ngazi ya Lameck na umafia wake kirahisi?
Lameck ni mmafia hakuna raia wa kawaida wa kumfanyia hivi isipokuwa mtu aliemzidi akili zaidi na katumwa na mafia zaidi yake so hapo ni kuachia ngazi tu.